Ngono tam acheni maskhara

Hii mada haifai ktk maadili ya kiislam aliyeianzisha lazima atakuwa ni mlevi wa ngono
 
😛oa😛oa😛oa😛oa😛oa:llama::llama::llama::llama::llama:
 

Wewe leo ndo mara yako ya kwanza kufanya ngono? Maana hata maelezo yako yanaonyesha wazi kuwa wewe ni mgeni kwenye haya mambo.
 
Wewe kijana inabidi uokoke..
Hayo mawazo nadhani ungekua unamwaza Muumba ungeongea mengine.
 
We unaochangia una miaka mingapi?



Niko matured, na ndiyo maana namshangaa mleta mada ana umri gani mpaka aje kushangaa watu wanatimiza wajibu wao. Kwani kuna cha kushangaa mtu kula raha za muda na yule amtamaniye, kama ni dhambi Mungu pekee ndiye anayehukumu. Labda pengine mwenzetu anataka ashauriwe anunue ngazi awe anatembea nayo mitaani ili akiona mtu na demu wake wanaingia ndani apande akawachungulie.
 
mshana jr avata yako inanifanya nijisikie vibaya kusoma hii post inatisha sana,
ila ngono raha acha utani hasa kwa yule umpendae na uwe na hisia nae
 
Last edited by a moderator:
kaka ungeacha huo mchezo c mzuri kabisa? Humuogopi hata Mungu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…