Ngono mara ngapi kwa wiki

Ngono mara ngapi kwa wiki

Nawashauri vijana wenzangu msifanye sana mapenzi kabla ya kuoa. Ukishaoa ukatulia hamu ya zile show za kibabe za kukomoa, za kuonja kila demu mkali hazipo tena.

Ukiangalia uume utauonea huruma umekaa kiuzuni, ulitumika sana, unapiga viwili hamu hakuna.

Nadhani wanaume waliojitunza ujana wao wakiingia kwenye ndoa wanakuwa na hamu sana ya kusex kila mara kuliko wale wanaume waliokuwa malaya uume una expire

Sent using Jamii Forums mobile app
Loo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabachelor tuna comment wapi au ss ndio tunaofanya ngono hatufanyi Tendo la Ndoa?
 
Nawashauri vijana wenzangu msifanye sana mapenzi kabla ya kuoa. Ukishaoa ukatulia hamu ya zile show za kibabe za kukomoa, za kuonja kila demu mkali hazipo tena.

Ukiangalia uume utauonea huruma umekaa kiuzuni, ulitumika sana, unapiga viwili hamu hakuna.

Nadhani wanaume waliojitunza ujana wao wakiingia kwenye ndoa wanakuwa na hamu sana ya kusex kila mara kuliko wale wanaume waliokuwa malaya uume una expire

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu katika pitapita yako ya Elimu hukuwahi kusoma theory moja inaitwa use and dis use Theory? Kama hukuwahi pita kaipitie hata Google then ndo utaelewa Ni yupi Kati ya Yao hao wawili Ina expiree.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom