Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,117
- 165,385
This is crazy 😂😂😂😂Mwanaume kwenda kutembea na ndugu wa mkewe au hata mama mkwe wake, hicho kama siyo kichaa cha ngono ni nini? Mwanamke kutoka na shemeji zake au baba mkwe wake, hicho ni kiwango cha juu kabisa cha maradhi ya kichaa cha ngono.
Cc: mpwayungu village
View attachment 2468692
Sent using Jamii Forums mobile app
