EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
- #21
Poa jamaa
Duuuuu nimejitahidi japo nimalize kusoma lakini nimeshindwa.
Duuuuu nimejitahidi japo nimalize kusoma lakini nimeshindwa.
Ngono ni neno lenye kuwasilisha vitu vingi. Niko Ngono huku sijui nakuelewaje mtoa mada
Nimefanikiwa kusoma kwa kuruka ruka aya kwa hali hiyo kuna aya zingine hata sijuwi zinazungumzia nn kwa sababu sijazisoma
Tz ya viwonder kuna raia wanaopenda chini wamemaliza kusoma hadi nukta.
Lakin kama umeongea point flan ivi
nimejaribu kusoma hadi nusu ,kilichonishtua ni kila aya ina ngono
Ngoja nicomment kwanza....Nitasoma Uzi kupitia kucomment
Hivi ata wanachama wa CHAPUTA wapo kwenye janga la ngono...Acha ngono[emoji34][emoji34]
Sijasoma
Somo la leo ni ngono/michepuko...[emoji34][emoji35][emoji51]
Hivi ata wachama wa CHAPUTA wapo kwenye io janga la ngono...
Sijasoma
Nimeishia hapo uliposema mtu anatembea na mume ili kumkomoa khaa yaani mtu atembee na mume wangu ilivkunikomoa? Pambaf ananikomoa mimi au sehemu zake za siri?
Duh aisee kaandika mpaka inachoshaa
NdioMaelezo yote hayo yanahusu ngono tu