Ng'ombe......!!!

Hawa ndio Boran Breed bana, Ng'ombe mwenye uzito wa nyati.

Ng'ombe sahihi wa nyama ila mpaka atengeneze nyama hivyo na uzito umegharamia haswa.
Hivo Hawa nchini wanapatikana kweli mkuu?
 
Sasa kwa mfano kama mtu mmoja anaweza kuhukumu Taifa zima adhabu ya kifo kwa kukataa watu wasipate chanjo ya Corona ili wafe na kila mtu akanyamaza kimya,hao siyo Ng'ombe?
Sawa, ila usisahau mkataba wenu na USA unavyowagharimu hadi mnakufa. Bado tu mnashangilia kwa vile mnapewa silaha. Huu siyo ung'ombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…