Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,657
- 7,146
Ngombe pia wanaweza ingiza magonjwa ya wanyama Mbugani na kuleta matatizo mengi kwa Tanapa.Ikimbukwe Nyati au Swala anaweza ishi Mikumi ata miaka 20 bila kumove ata one Kilometer,Hawa Ngombe wa Tanzania wanatembezwa ata kilometa 2000. So kama wanakatazwa awasikii what next? Je wewe ungekuwa na Jukumu la kuwalinda wanyama pori ungefanya nini?Je Hawa wachungaji sio Majangili pia? Tanapa wanajua wanachofanya tusiotoe lawama bila Utafiti wa Kina na kujua Ukweli