Msubiri aingie kwenye heat huyo kwa sasa hana n*ege. Jifunze dalili za ny*ge ndio umletee hawara yake. Wanyama kama hao ng'ombe wanafuata utaratibu. Hawako kibiashara kama wale wa kimboka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Njoo PM nikupe hints za kajike kako. Mtoe huyo hawara kwanza atampotezea stimu kabisaa [emoji29][emoji29][emoji29]