NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,102
Ng'ombe wangu aina ya Jersey kazaa leo hii. Amechoka sana ameshindwa hata kumlamba mwanaye kondo halijatoka msaada please.
Kama nitakuwa sijachelewa, kwanza kuchoka kwake inamaana katumia nguvu nyingi katika kuzaa hivyo ungempa maji ya glucose ya kutosha.Ng'ombe wangu aina ya Jersey kazaa leo hii. Amechoka sana ameshindwa hata kumlamba mwanaye kondo halijatoka msaada please