Ngómbe wa kisasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngómbe wa kisasa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by muheza2007, Nov 26, 2011.

 1. m

  muheza2007 JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Wakuu,

  Nataka kusaidia ndugu waanzishe ufugaji wa ngombe wa kisasa na nina maswali machache.

  1. Ni ngombe aina gani wanafaa kwa Tanzania na hasa mikoa ya Nyanda Za juu Kusini?

  2. Je ngómbe wa kisasa kwa Tanzania wanatoa maziwa kiasi gani kwa siku?

  3. Je kuna ngómbe kama hao kule chuo cha Uyole? na bei zake zikoje kwa ndama wa mwaka mmoja?
   
Loading...