Ngombe mwenye miguu sita!!!

Ngombe mwenye miguu sita!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267
s-SIX-LEGGED-CALF-large300.jpg

​
 
Last edited by a moderator:
hii ipo sana mkuu AB hata kwa binadamu . nishawai kumwona dada mmoja ana vidole sita kila mkono na mguuni pia
 
hii ipo sana mkuu AB hata kwa binadamu . nishawai kumwona dada mmoja ana vidole sita kila mkono na mguuni pia

My close relative anayokitu hiyo ya 6 x 6 both hands and feet. Halafu mwenyewe anakutilia nail polish utapenda!
 
Kwangu ni maajabu haya,japo kwa wengine yaweza kua kawaida..
 
i mambo ya kidunia na maliwmengu tu hayo
 
ni mambo ya dna tu hayo na mambo ya genes nadhani..!
 
Back
Top Bottom