Katika taarifa ya habari itv, mdau mmoja wa mifugo kasema kuna lishe ambayo ngombe huongezeka kilo 2 unusu kwa siku. Hawa ni ng'ombe wa nyama. Haya si madhara kwa mtumiaji jamani? Kwa miezi 6 anakuwa na kilo 400. Hii si sawa
Kwa lishe ya kawaida haiwezekani ngombe kuongezeka kwa siku moja kilo mbili na unusu labda kama hiyo lishe itakuwa imechanganywa na dawa Zenye hormone . Na ni hatari sana kwa nyama hizo kwa mwili wa mwanadamu hasa unapomula ukanyonya hadi mifupa unaweza pata magonjwa mengi sana kama cancer , imnunocompromise due to toxin ambayo inaresult kwenye infection (bacteria and fungi infection) .
ndio wataalamu wetu wanatuambia live bila chenga. Nilimsikia tena vizuri akisema ni madume. Sasa haya madume yanapanda majike, yanazaa, tunapata maziwa, na mwisho wa siku tunakula nyama yake. Genetically modified food everywhere
Katika taarifa ya habari itv, mdau mmoja wa mifugo kasema kuna lishe ambayo ngombe huongezeka kilo 2 unusu kwa siku. Hawa ni ng'ombe wa nyama. Haya si madhara kwa mtumiaji jamani? Kwa miezi 6 anakuwa na kilo 400. Hii si sawa[HIZO DAWA ZINAPATIKANA WAPI?