Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,649
- 19,334
Ni mambo yanachanganya sana dada. Mimi hua sielewi kama shetani ndio jini au ni vipi!Hiyo ngoma ya kucheza vifua wazi na maziwa nje kwa wanawake inaitwa kifudu, huchezwa na wadigo hujumuisha matusi s mchezo,nilisahau hilo jina kaka chano, nimeshawah kuta njia panda pia kuna mkate wa kumimina naona ni shirki tu, halaf skua najua majini huja kupitia binadam na kula nilijua wamefungiwa humo ndani wanakula asante kwa kunijuza zaidi
daaahh mniitage namie" nijionee hayo matiti nje njeHiyo ngoma ya kucheza vifua wazi na maziwa nje kwa wanawake inaitwa kifudu, huchezwa na wadigo hujumuisha matusi s mchezo,nilisahau hilo jina kaka chano, nimeshawah kuta njia panda pia kuna mkate wa kumimina naona ni shirki tu, halaf skua najua majini huja kupitia binadam na kula nilijua wamefungiwa humo ndani wanakula asante kwa kunijuza zaidi
hahaha ningeona aibu, kichwa wazi kutoka nje siwez ije kua hivo mashangaz mababu wajomba haa hapana hahahahhaaNi mambo yanachanganya sana dada. Mimi hua sielewi kama shetani ndio jini au ni vipi!
Hicho kifudu simchezo maana wanakua kama ngoma ya Mfalme Mswati anachagua mke, na pia matusi nje! Tena hapo wamechanganyika mama, watoto, kaka, dada.shangazi n.k
kwa vigezo vyote hiyo ni shirki tu dada. Na ni makabila na koo nyingi wanayo haya mambo ila hutofautiana namna ya kufanya
Kwa mfano mtu akizaliwa kwenye na kukulia kwenye tamaduni hizi halafu abahatike kua kusoma na kua ama daktari,engineer au hata mwanasheria mzuri anakua kwenye nafasi nzuri ya kujua kua hayo mambo hayana nafasi kwenye dunia ya kisasaBro mambo ya kishirikina yote huongozwa na ujinga.
Pili,sijawahi kuona usecular ukioinga juu yamambo haya,labda unionyeshe leo ni wapi usecular unapinga mambo kama haya au mfano wake.
unapeeeendaaa hahahhahadaaahh mniitage namie" nijionee hayo matiti nje nje
hahaha ningeona aibu, kichwa wazi kutoka nje siwez ije kua hivo mashangaz mababu wajomba haa hapana hahahahhaa[/QU
Umeona eeh! Eti mkifanya hayo mambo ya aibu ndio mnafanikiwa mambo yenu! Kama sio u Free Manson ni nini sasa?
Umeona eeh! Eti mkifanya hayo mambo ya aibu ndio mnafanikiwa mambo yenu! Kama sio u Free Manson ni nini sasa?hahaha ningeona aibu, kichwa wazi kutoka nje siwez ije kua hivo mashangaz mababu wajomba haa hapana hahahahhaa
imani kaka, imani n kitu cha ajabu sanaUmeona eeh! Eti mkifanya hayo mambo ya aibu ndio mnafanikiwa mambo yenu! Kama sio u Free Manson ni nini sasa?
Wanaita "Mwalimu" au ng'weimuBro bila shaka hapa umeongelea USOMI wa usecular sio ?
Bro secular haina uwezo wa kumjulisha mtu kwamba jambo fulani baya na jambo fulani zuri hasa kitabia. Kwahiyo usishangae hata yule aitwae msomi wa ki secular akawa anakula huku anakimbia,akawa hajui hata kuoga janaba,vipi atajua kuhusu ubaya wa hayo mangoma ?
Nakukumbusha tu usecular hauna uwezo wa kumgutusha mtu na kumfanya mtu awe mstaarabu.
Usecular una udhaifu mkubwa sana hasa kimaadili na kitabia.
Nakumbuku nilivyokuwa mdogo haya nilikuwa naya shuhudia mkoani Tabora.
Zile ngoma za kishirikina kuna washiriki wake hutumika kuleta taarifa ambazo hazijulikani.Hali hiyo ndiyo ramli yenyewe na anayeandaa hiyo ngoma humwita fundi,ndiye mganga anayeshughulikia mambo yote mpaka utoaji wa makafara kama uchinjaji wa kuku,mbuzi,kondoo nk.Ni kawaida kumwona yeyote mwenye maruhani kushiriki bila hata yeye mwenyewe kujitambua ikiwa atakuwa jirani na eneo la ngoma.Hizo ngoma ni maarufu kwenye mikoa kama ya Tanga, Kigoma, Tabora, Mwanza na Dar na utashangaa kuna hata wasomi na watu wenye exposure huwa wanashiriki
Miye sijambo pia namshukuru Mola
hahaa mademe nionyeshe mtu yeyote asiyependa humu ".unapeeeendaaa hahahhaha
hahahaha sasa unataka kuyaona maziwa ya dada zako,mashangazi zako bibi zako utapofukahahaa mademe nionyeshe mtu yeyote asiyependa humu ".
Shoga yeyeto hawezi kosa shetani ndo amuongozae,ndo maana ukiwa na tabia za kuangalia porn za mashoga shetani lzm akuingie then si mda utakuwa chakula uliwe au ule.hahaha huyo mama mtaani kwangu ni maarufu kwa hizo ngoma
Na sjui why zinajaaga mashoga ndio wachezaji
Me sjambo kaka angu hofu kwako
Hizo ngoma ni matawi ya Freemasonry na wote hao ni Freemasonry, sawa na ngoma za vodoo za west Africa.Hizo ngoma ni maarufu kwenye mikoa kama ya Tanga, Kigoma, Tabora, Mwanza na Dar na utashangaa kuna hata wasomi na watu wenye exposure huwa wanashiriki
Miye sijambo pia namshukuru Mola
Kama vodoo ya west Africa, pia ukisema usomi ni general, usomi kwenye nyanya IPI?Hiyo inaitwa chano. Inakua na vitu vitamu kama miwa, asali, ndizi kusukari, halua, mkate wa kumimina na vitu kama juice ambavyo huwekwa kwenye sinia
Wanasema hicho ni chakula cha hao mashetani ambao huja kupitia miili ya binadamu na kuja kula hivo vitu. Katika baadhi ya makabila na koo jambo hili linafanyika kila mwaka na wanapiga na hizo ngoma za kuwaalika hao viumbe
Inasemekana kua hiyo ni aina ya matambiko kama matambiko mengine yanayofanywa kwa aina tofauti kwenye makabila mengi hapa nchini au Afrika kwa ujumla
Kuna wakati Tanga zinapopigwa hizi ngoma huwa wanatembea barabarani mchana kweupe, wanaume wakiwa vifua wazi na wanawake manyonyo nje!
Wanaoshiriki mambo haya wanadai inawafanya wakae vizuri katika maisha yao kwa mwaka mzima. Yaani ni matambiko ya kuondoa mikosi ya kuumwa, kuharibikiwa na mambo ya kazi au biashara, kuvurugikiwa na mahusiano ya kifamilia kama vile ndoa n.k
Jambo la kushangaza kama nilivosema awali ni kwamba hata waliowasomi na wenye exposure kubwa kwenye hizo koo ikiwemo waliowahi kuishi Ulaya na Amerika wanaamini na kushiriki hayo mambo!
looooHhh " nzi kufia kwenye kidonda wallahihahahaha sasa unataka kuyaona maziwa ya dada zako,mashangazi zako bibi zako utapofuka
asante kwa kunifungua machoShoga yeyeto hawezi kosa shetani ndo amuongozae,ndo maana ukiwa na tabia za kuangalia porn za mashoga shetani lzm akuingie then si mda utakuwa chakula uliwe au ule.
utajitaftia laana shaur zakolooooHhh " nzi kufia kwenye kidonda wallahi