Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,339
- 144,837
Sikusoma juuHuh?
Aliyeuanzisha ni nani kwani?
Huu Uzi asiuone Nyani Ngabu maana anaweza kutapika……🤣🤣Kwamba Ibrahim traore wazungu wameanza kwenda kuhiji Gaborone kama wamatumbi wanavoenda uarabauni na uyahudini?
“Sacrasm” ndo kitu gani we jamaa? Ni brand ya toilet paper huko uliko?Sikusoma juu
SACRASM
Hiyo video mbona haina shaka yoyote.Namkubali R. Kelly:
Maana kwa sasa kuna balaa la google VEO 3, ambapo kutofautisha halisi na fake (AI) imekuwa mtihani.
- Ila ninashaka kama audio ni yake au Ai,
- Image visual naona kama ni AI generated.
👍Hiyo ni AI R Kelly since amehukumiwa na kuanza ya jela hajaachia nyimbo yoyote officially nyimbo mnazlziona ni AI .
Hata ukisikiliza hiyo nyimbo unajua kuwa huyu sio R Kelly
Phrase ukilewa usichati ingeleta maana kuliko mipasho hioHuu Uzi asiuone Nyani Ngabu maana anaweza kutapika……🤣🤣
Nikisemaga IQ za Waafrika ziko kwenye low single digits huwa sitanii. Huwa namaanisha haswa!
NgongoHuh?
Aliyeuanzisha ni nani kwani?
Mwamba ameshatoka nyuma ya nondo au ndio vile anafanya kazi zake akiwa kulekule?Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.
Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.
Hili ni tsunami kabisa.
Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.
Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.
🤣🤣😉😉
View: https://youtu.be/aFrOKH0Rqvo?si=6J4SvDNfsmPqP3ot