BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Kokoro iko vizuri sana mkuu..ile nyingine sielewi ni nyimbo ya aina gan ..ilikaa tu kwa dk 15 kwenye simu yangu..kokoro bado imebakihii kokoro na ile ya neyo naona kokoro iko vzur zaid ila haya ni mawazo yangu
Yah naona hakuna tena yale matarumbeta na video za magari nazo hakuna kwenye hili wamebadilikaKokoro iko vizuri sana mkuu..ile nyingine sielewi ni nyimbo ya aina gan ..ilikaa tu kwa dk 15 kwenye simu yangu..kokoro bado imebaki
Nope,sio ivyo mtu aambiwe anapokosea ukweli ndio utakaomfikisha mbele kwa mbele zaidi p square wamebugi kidogo tu cheki walivyododa na wanavyohangaika kujirudisha kwenye nafasi yao,wanaomkosoa ndio wanaotaka afike mbali nyie mnaomsapoti hata kwa vibovu ndio wanafiki wenyewe mnaonataka ashukeMwenzenu yuko mbele kwa mbele kama tai, nyie pigeni mdomo tu.
[emoji23][emoji23]Yah naona hakuna tena yale matarumbeta na video za magari nazo hakuna kwenye hili wamebadilika
Aise ndo nashangaa mkuuNope,sio ivyo mtu aambiwe anapokosea ukweli ndio utakaomfikisha mbele kwa mbele zaidi p square wamebugi kidogo tu cheki walivyododa na wanavyohangaika kujirudisha kwenye nafasi yao,wanaomkosoa ndio wanaotaka afike mbali nyie mnaomsapoti hata kwa vibovu ndio wanafiki wenyewe mnaonataka ashuke
Una elimu gani kwanza ..labda nianzie hapo kwanza mana siwez mipasho napenda kushindana kwa hoja sasa naona umekuja kimipasho hata kama akina khadija kopa hujaelewa hata nilichoandika...sorry am more than that.We kama nani unasema hayo chambua na maisha yako saka hela acha wivu kwa mtoto wa mwenzio Wanok nok ndo mlivyo mnawanga mchana gooooo chibu chibudeee
Kuna nyimbo Diamond anaimba target market yake sio Tanzania ni kuendelea kupata washabiki maeneo mengine.Salome ndio ilikuwa ya Tanzania na kama umegundua kwa sasa Diamond anajitahidi kuwashirikisha wasanii wake (Harmonize,Rayvan na Mavoko ) ili waweze kupata fanbaseBest naso?? Anyway Mzik wa diamomd sio mbaya lakkn nyimbo aliyoimba na neyo ndio mbovu tofaut na expectations zangu.
Tunarudi palepaleElimu yangu itakusaidia nn unapenda kufatilia ya watu mbona povu ukiandika kimipasho najibu kimipashoUna elimu gani kwanza ..labda nianzie hapo kwanza mana siwez mipasho napenda kushindana kwa hoja sasa naona umekuja kimipasho hata kama akina khadija kopa hujaelewa hata nilichoandika...sorry am more than that.
Mbona unashtuka au Best Naso sio msanii? Waulize kanda ya ziwa ndo star wao [emoji1]Best naso?? Anyway Mzik wa diamomd sio mbaya lakkn nyimbo aliyoimba na neyo ndio mbovu tofaut na expectations zangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4][emoji444] When I look at you...
.......
Niko mzima sababu yako wewe tu...
When you talk to me I hear the angles I can't even see.[emoji444]
I want to marry yo....o lalalalalaalaaaaa
Olalalalaaaaaa
Venye kupenda maradhi ya moyo nitampenda nani
Sio mfupa mwenzio kibogoyo...
Kutwa wanakumendea mi pressure kizunguzungu...
When you smile....when you smile...[emoji444]
Oooooh japo kidogo...eeeeh nideke deke...
Nidekeze mama...[emoji444]
Ooooh I want to marry you...o lalalalalalaaaaaa
Twende kwa mama baba...o lalalalalaaaaaa[emoji444]
Ah twende kwa baba na mama yanguuuu
Umenifanya nikausikiliza huu wimbo zaidi ya mara 3!
Unbelievable![emoji5]
Hihiiiiiiii next time ikitoka ngoma ya chibu nitajikaushaaaaaa.[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4]
Lol nimefurahi umeupenda..
Mimi iko kwenye replay toka siku ya kwanza imetoka
Mistari kuntu! [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hihiiiiiiii next time ikitoka ngoma ya chibu nitajikaushaaaaaa.
Maana sio kwa 'kunivuta' namna hii.
Hii ya kokoro naisikia juu juu tu,wala siitafuti.