Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Diamond Tushamzoea kuvujisha nyimbo zake na kuanza kutoa lawama kutafuta kiki.
 
kumpeleka neyo kwenye afro pop wakati yeye ni muimbaji wa rnb kumemshusha kiwango kabisaa,na huu wimbo hautakuwa na video ni mbaya sana kwa mara ya kwanza ameharibu domo
 
Nyimbo mbovu kishenzi,kaangukia pua vibaya sana nilichojifunza ni kuwa domo sasa hv anatoa nyimbo mbovu anaweka pesa ndefu kwenye promo nyimbo inakuwa kubwa but the work is below performance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…