rastafari tz
Member
- Jul 1, 2016
- 46
- 48
Kama una access ya kumfikia fanya initiative ya kumsaidia, baada ya pombe utaskia anatumia KUBWA KULIKO, heri nusu shari kuliko shari kamili. Ushauri tu.Jos aache pombe nilikutana nae kuna siku kitaaa kalewa kaisha nikampa 5 ila sikumjua nimefika mbele sura ikawa inaload... Ndio kujua alikua ni big jos.. Jamaa namkubalii sanaa ila pombe zimamuharibu sanaa