selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 454
- 616
Wadau naomba tupieni humu tafadhali.
Umeeleweka..Watu wanashindwa kutofautisha zouk na rhumba.
Wasanii wa zouk ni kama
Oliver ngoma
Monique seka
Tshala muana
Kanda bongo man
Mbilia bel (baadhi ni rhumba)
Rhumba
Madilu system
Franco
Tabu ley
Samba mapangala (baadhi zouk)
Sam mangwana
Monica seka huyoHiyo Mario by Franco Luambo ipo remix yake kapiga Mwanamke aiseeee hatari sana.
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati...
Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana..!!!
1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely
Etc......
Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..
NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa..
Wekeni hizo audio humu basi
Remix ya Mario ni mbilia bel ndgu
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati...
Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana..!!!
1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely
Etc......
Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..
NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa..
Pamoja kwa darasa watu wanachanganya hata mushana nu zoukWatu wanashindwa kutofautisha zouk na rhumba.
Wasanii wa zouk ni kama
Oliver ngoma
Monique seka
Tshala muana
Kanda bongo man
Mbilia bel (baadhi ni rhumba)
Rhumba
Madilu system
Franco
Tabu ley
Samba mapangala (baadhi zouk)
Sam mangwana
Mkuu kuna wimbo rhumba safi sanaPamoja kwa darasa watu wanachanganya hata mushana nu zouk
Ni Monika sekaRemix ya Mario ni mbilia bel ndgu
Maseke ya meme-manyoya ya kondooNakomitunaka! Verkys
Phenomene- mbilia belli
Mayaval_ mbilia belli
Kamikaze- youlou mabiala
Maseke ya meme- bavon marie
Anyway labda kama wote waliwahi to a remix ya Mario ila mi naoujua ni was mbilia bel wa seka sijaufahamu badoNi Monika seka