Ngoma kali za Rhumba: All the time Old is Gold

Watu wanashindwa kutofautisha zouk na rhumba.
Wasanii wa zouk ni kama
Oliver ngoma
Monique seka
Tshala muana
Kanda bongo man
Mbilia bel (baadhi ni rhumba)

Rhumba
Madilu system
Franco
Tabu ley
Samba mapangala (baadhi zouk)
Sam mangwana
Umeeleweka..
 
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati...

Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana..!!!

1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka -Okaman
4> M. Seka -Adeba
5> O. N'Goma -Fely

Etc......

Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee wenzangu) na nyie mniwekee za kwenu..

NB: Wale wa Amapiano (Asumaniiii) hatutaelewana hapa..

Namba 1,3,4 na 5 ni Zouk (afro)
 
Pamoja kwa darasa watu wanachanganya hata mushana nu zouk
 
Nyimbo kali za rhumba nu hizi zifuatazo:
1. 100 kilos ferre gola
2. Vita imana ferre gola
3. Eclipse ferre gola
4. Kinshasa ferre gola
5. Visas Ferre gola

Kuanzia 6 na kuendelea ndio muweke hizo nyimbo zenu
 
Back
Top Bottom