Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Gal:hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Gal: poa
Boy: utakuwa free weekend?coz niltaka uje kwangu
Gal: oh!!sorry sitoweza kuja kuna harusi ya unty yangu and second day kuna wageni home.
Boy:kama ni hivo basi sawa,just nilkuwa nilitaka nikufanyie surprise nimkununulia blackberry
Gal:usijali hny nitakuja hata ukitaka ntalala huko huko
Boy:vipi harusi?
Gal: harusi ipi???aaah nilkuwa nakutani hny
Boy:hata me nakutania