Na ambaye hajawahi kufikiria au kufanya hiyo kitu ambayo hao wanafanya awe anedelee kuchangia mada hii. Mimi naona hayo ni mambo binafsi ambayo kila mtu yuko huru kufanya au kutofanya.
Mbona mnawasema bure tu watu wa watu au kwa kuwa wanajulikana,amini nawaambia wako watu wanajifanya kuponda hapa ila wao wakipanga ma-ex wa boyfriend/girlfriend foleni yake inaweza kutoka goli hadi goli(uwanja wa soka)