kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,298
- 12,600
Wote walikuja na kupokelewa na ummati ya wana-yanga na wote waliondoka kwa mbwembwe na mizengwe na kujifanya wamesahau yale mapokezi ya kirafiki, upendo na udugu waliyopewa na mashabiki wa Yanga wakati wanakuja. Kuondoka kwa mchezaji kwenda timu nyingine ni sehemu ya mchezo na haki ya mchezaji lakini anaondokaje na wakati gani ni muhimu sana katika afya ya mchezaji na mchezo wenyewe.
Sio duwa la kuku, bali watayalipia yote wakiwa katikati ya dima.
Sio duwa la kuku, bali watayalipia yote wakiwa katikati ya dima.