Kaopoa bonge ya pisi yaan hio huna hata haja ya kukaa unawaza km kuna wahuni wanakuchapiaSidhani kama hiyo habari ni ya kweli, kuna mahali hata mimi nimeiona lakini vyanzo vingine vinadai ni habari za uongo.
Aziza alipaswa kujifunza kupitia huyu kante.
Ndo mwenyewe huyu au masihala πππ
Akimsafisha huyo akaanza kuogea sabuni zilizopitia QC wote mtaanza kumtamani.Kaopoa bonge ya pisi yaan hio huna hata haja ya kukaa unawaza km kuna wahuni wanakuchapia
"Beauty lies in the eyes of the beholder".La kujifunza hapo ni kwako Ngoli Kante ukiwa na hela chagua mwanamke mzuri wa kutoa. Usioe mwanamke kama mwanaume ,mnafanana nae
Alitumia iyo pikipiki kwenda kulipia mahariKante akiwa kitaaView attachment 3276499
Nyie waswahili mmechoka hampati wanaume wa kuwao Ila bado mnajifanya mnawadharau watuHuyo mwanamke wa kante utadhani mkaguru wa kibaigwa. Lol
ππππππ
Na kukaa kote paris lakin bado kipofuHuyo mwanamke wa kante utadhani mkaguru wa kibaigwa. Lol
ππππππ
Aziza amelishwa shuntama(limbwata) hachomoki.Aziza alipaswa kujifunza kupitia huyu kante.
πππππNa kukaa kote paris lakin bado kipofu
Niolewe mara ngapi? Ndoa ninayo na natamba nayo.Nyie waswahili mmechoka hampati wanaume wa kuwao Ila bado mnajifanya mnawadharau watu
Maendeleo ya moyo hayapogi ivoKante kachagua maendeleo ya moyo na sio vitu