Kulima sio nguvu ni Pesa na akiliKulima ni kazi mkuu...em jaribu uone
Ifm???Umechukua hatua gani mkuu
so dissapointed,Wazungu wengi wanapotua uwanja wa ndege hapa nchini kwa lengo la kuja kuwekeza, humkuti akienda Kariakoo kutafuta fremu ya duka, bali utaona anatafuta na kuelekea vijijini kwenye ardhi. Huko atafanya mambo mawili kati ya haya ama yote kwa pamoja:-
1) Atachimba na kuchukua vilivyomo ardhini (madini)
2) a. Atapanda na kuvuna kutoka ardhini(kilimo)
b) Ataweka vyenye uhai na kuvikuza juu ya ardhi(mifugo).
Sisi "wabongo" tukiwaza kuwekeza ama kufanya biashara akili zetu zinawaza kupata fremu za maduka Kariakoo ama kupata ofisi za "vioo" pale PPF Tower, Ubungo Plaza na Mafao House za mjini. Ngoja tu wageni wanaokuja nchini waendelee kutajirika mbele ya macho yetu kwa sababu tumekuwa wavivu kutazama namna wanavyotazama
Uzi mzuri umekaa kizalendo.Wazungu wengi wanapotua uwanja wa ndege hapa nchini kwa lengo la kuja kuwekeza, humkuti akienda Kariakoo kutafuta fremu ya duka, bali utaona anatafuta na kuelekea vijijini kwenye ardhi. Huko atafanya mambo mawili kati ya haya ama yote kwa pamoja:-