Ngoja niwashilikishe ili.


Hapo kwenye Red naweza kusema kuna ukweli fulani HIV is benign lkn ukimchokoza kwa DRUGS kama hizo basi immunosuppresion itatokea maana WBC(cell nyeupe za damu) zitakua zinakufa nyingi ilikufanya successfull elimination ya infected cells

HIV hana noma sana mfano hai ni kwenye sokwe kwa sabbu sokwe hawana curiosity ya kutumia Drugs na presha za kupima huko huko unapewa False positive results...hii inapelekea AIDS kuwahua binadamu kuliko hao sokwe

Hata dawa ya ukimwi ikija leo wengi watakufa bado sababu hawana imani tena na dawa

Hata Yesu hawakumuamini kama ndiye maana walisema "Si yule mtoto wa seremala..
 

mkuu taarifa nzuri ila nna maswali memgi lkn wacha niulize machache
1.hiyo dawa unajaribu kwa hao watakao kutafuta au ushajaribu watu wamepona?
2.unaiza ? au bure ?(maana naona komment zako nyingi unasema natoa bure wakati umesema kuitengeneza dozi ya mtu mmoja yapta karibu mwenz naa)
3.unaweza ukatuamabia ufanisi wa hiyo dawa unafanyajefanyaje na umnatengenezaje (materials)
4.ukimwi sio kitu kidogo na walio nao wanatamn kupona ebu watie moyo kwa kujibu hayo kwanza theni tutafutane
note :km unania ya kuokoa kizazi cha tanzania..waafrika tunaweza hasa tukiwezeshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…