NGOJA NITOE RAI

Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
810
1,264
Naomba nitoe rai kwa members wote humu ndani hasa kipindi hiki cha mwezi mtukufu kwa ndugu zetu Waislam.

*1. Tuache lugha za matusi na za kashfa.*

*2. Tuache kutuma picha mbaya zisizo na maadili n.k*

*3. Tusitumie mwezi huu kwa lengo la kuwa kuwakwaza wengine kwa makusudi hasa watakaokuwa kwenye funga.*

*4. Ruksa kutoa mwaliko wa futar kwa Member wa group wote!!!* *hasa hasa mimi nliotoa ilo agizo unaweza nitafuta namba yangu juu apo*

RAMADHAN KAREEM!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom