Ngoja niseme tu Samahani kama nitawakwaza huyu ni mkaka ninayemkubali sana humu Jamii Forum

Ukitaka kujua JF kuna ma afisa wa TISS

Angalia walivyomshtukia Kiduku llilo

Unafikri wamemshtukia kwa kupanga

Wala walikua zao kupeleleza wengine

Ndio kiduku nae akatokea ndani,mtu akamuanika

JF hiiiii
 
Kuna watu nliwahi sema walinivutia sana kuja Jamii Forums. Mmojawapo ni gudume. Huyu uandishi wake,visa na mikasa yake ilinifanya niingie JF kila siku kutaka msoma.

Ameongezeka Boss Kiduku Lilo. Huyu jamaa anajua kuandika,hana ugomvi,hana matusi, ana pesa na si mtu wa wanawake anavyoonekana.

Mimi sijui ukweli wake upo wapi.lakini napenda sana fuatilia nyuzi zake.zinanitia uchungu wa maisha na pia napata burudani. Najenga picha anapokuwa anaandika anakuwa anakunywa juice miguu kaweka juu amejilaza kivivu.

Ni mwanaume anayejiamini na mwenye utulivu. Akitukanwa wala hajibu.anaonesha kuwa na dharau kwa watu wasio mwelewa. Nmejikuta tu nmekuwa mpenzi wake.

Wakati mwingine inachosha kusoma habari za majonzi,shida,mateso ,umaskini na unyonge kila siku. Tunataka mambo ya kuburudisha na kupumzisha akili. Ndo maana nikasema leo ngoja nisome hasa hii trip yake ya Bagamoyo nimeipenda sana.

Ni hayo tu kaka na dada zangu.tusiwe tunaponda siku zooooote.sometime hata tusifie mazuri.
Kwa hiyo mimi hujaniona au dharau...?
 
ngoja aje pm akakugegede akil ikukae sawa...ulete mrejesho pia kama umependa anavyogegeda
 
Humu ndani, nijambo rahisi sana kubaini mwanaume anae tumia ID ya kike.
Naomba niishie hapa
Mwaka 2014 kuna memba maarufu kabisa humu ndani alikuwa anamiliki ID ya kike. Kuna siku akaandika uzi kabisa kwamba ana makalio laini na yanachezacheza, amejaribu kuyabana kwa kuvaa taiti mbili mbili lakini yanacheza tu. Akaendelea kusema kuwa hali hiyo inapelekea kila anapopita vijana wanampigia mluzi.
Siku ya siku alifanya kosa, mods wakaziunganisha ID na ikabaki ya kiume hiyo sasa tuliyoizoea. Ilikuwa aibu!
 
Utoto tu. Hamna Tiss wa namna hiyo. Tiss wana mambo ya maana hizo assumptions hazijaanza leo.siku zote wanaume fulani wakiona kuna mwanaume mwingine anapata credit hukimbilia hilo.ni utoto na wivu wa kike tu na nyie watoto wa kiume mbadilike muwe kama wanaume....shaaah.mnajikita kwenye umbea mpaka mtaanza kusutwa.😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁

Ukitaka kujua JF kuna ma afisa wa TISS

Angalia walivyomshtukia Kiduku llilo

Unafikri wamemshtukia kwa kupanga

Wala walikua zao kupeleleza wengine

Ndio kiduku nae akatokea ndani,mtu akamuanika

JF hiiiii
 
Uliwahi kutafuta "bwana" humu jf ukajimwamba kuwa ulimaliza chuo na una_kazi ila kwa uandishi wako ni wazi darasa la 7....Ona baada ya nukta hakuna nafasi hakuna herufi kubwa
Sijui hata ulichoandika dada ...nawe mwanamke mwenzangu unakuwa na wivu wa kijinga tu.maana hata unachojaribu kuchambua hakieleweki.wanaume najua huwa wanakuwa na wivu wakiona mwenzao anasifiwa.... Zero IQ njoo uwaone hawa kaka yangu....
 
Mwaka 2014 kuna memba maarufu kabisa humu ndani alikuwa anamiliki ID ya kike. Kuna siku akaandika uzi kabisa kwamba ana makalio laini na yanachezacheza, amejaribu kuyabana kwa kuvaa taiti mbili mbili lakini yanacheza tu. Akaendelea kusema kuwa hali hiyo inapelekea kila anapopita vijana wanampigia mluzi.
Siku ya siku alifanya kosa, mods wakaziunganisha ID na ikabaki ya kiume hiyo sasa tuliyoizoea. Ilikuwa aibu!

Hahah aliitwa nani mkuu?
 
Utoto tu. Hamna Tiss wa namna hiyo. Tiss wana mambo ya maana hizo assumptions hazijaanza leo.siku zote wanaume fulani wakiona kuna mwanaume mwingine anapata credit hukimbilia hilo.ni utoto na wivu wa kike tu na nyie watoto wa kiume mbadilike muwe kama wanaume....shaaah.mnajikita kwenye umbea mpaka mtaanza kusutwa.😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁
thawa bi khadijaaaaaaaaa

GONGA HAPA Shosti
 
Ngoja niuchunguze mwandiko wa GuDume. Huu nishaona ni wa kiduku kabisa kama mojawapo ya watoa maoni wa mwanzoni alivosema
 
Hivi kuna uwezekana ID ya ZIRO IQ,GU DUME,KIDUKU LILO,BI KHADIJA,GENERAL GALADUDU zikawa za mtu ..... sio?
Huwa nahisi General Galadudu na GuDume ni ID zinazofanana sana. Kwanza sifa ya multiple IDs ni kupotea. Kama Kiduku akitupia uzi anapotea baada ya siku mbili anatupia tena. Huwezi mkuta sehemu kadhaa akitoa maoni,hivo ndivo ilivyo kwa wenye multiple ID
 
Mkuu hao wote uliowataja Uko sawa kabisa na nashukuru nimejifunza kitu kuhusiana na sifa za mwenye multiple ID.
 
Hahah aliitwa nani mkuu?
Jina la kike alikuwa akijiia giLesi aliyejaaliwa kumbe dume tu tena maarufu sana hapa JF. Watu wacha wazame pm na kutuma vocha! Tena ameshasema ana kalio kubwa!
Nadhani alikua BurjBurj Khalifa(jina nimeliedit kidogo nawewe li edit ili umjue). Ila walicho fanya moderator ilikua character assassination duh asingekuwa na moyo nadhani angepotea kama manengelo demis chamdeko n.k
 
Ile siku nilicheka sana. Kuna jamaa alivyoana huo uzi wa kujisifu kuwa jamaa ana makalio laini na yanachezacheza, akatoka hapa MMU fasta hadi Jukwaa la habari na hoja mchanganyiko na kuandika "Imethibitika-kumbe *** ni mwanamke" akaweka na link kabisa! watu ayaa! si unajua mtu mwenyewe maarufu sana!
 
Mweeeeeh...we ni kilaza sijapata ona.yaani unachoandika ni upupu tu hata vituo hamna.suala la kuweka herufi kubwa na space humu siyo formal writing and it doesnt change the meaning.wewe kilaza unakuja inbox eti nikupe namba yangu ya simu.hata maiti yangu haiwezi kupa namba ya simu mtu kilaza kama wewe.

Back
Top Bottom