Ngoja niseme tu Samahani kama nitawakwaza huyu ni mkaka ninayemkubali sana humu Jamii Forum

Watasema hii ni Id nyingine ya kiduku lilo. Watu wa JF huwa wanakuwa na wivu wa kijinga. Yaani hawapendi sisi wanawake tu m appriciate mwanaume. Wanaumia sana kama wanawake nao...khaaah... Nlijua tu itawauma.

Hata sio mapenzi ni katika kutafuta tu chakula cha roho iliyo pondeka

1.kutafuta hekima kwa watu humu

2.kutafuta matumaini humu kwa usawaa wa kuhangaika huu

tangu aingie kiduku lilo JF imekua burudani
 
Sijui hata ulichoandika dada ...nawe mwanamke mwenzangu unakuwa na wivu wa kijinga tu.maana hata unachojaribu kuchambua hakieleweki.wanaume najua huwa wanakuwa na wivu wakiona mwenzao anasifiwa.... Zero IQ njoo uwaone hawa kaka yangu....

Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
 
Watasema hii ni Id nyingine ya kiduku lilo. Watu wa JF huwa wanakuwa na wivu wa kijinga. Yaani hawapendi sisi wanawake tu m appriciate mwanaume. Wanaumia sana kama wanawake nao...khaaah... Nlijua tu itawauma.
Acha kujimwambafy wewee!!
 
Kuna watu nliwahi sema walinivutia sana kuja Jamii Forums. Mmojawapo ni gudume. Huyu uandishi wake,visa na mikasa yake ilinifanya niingie JF kila siku kutaka msoma.

Ameongezeka Boss Kiduku Lilo. Huyu jamaa anajua kuandika,hana ugomvi,hana matusi, ana pesa na si mtu wa wanawake anavyoonekana.

Mimi sijui ukweli wake upo wapi.lakini napenda sana fuatilia nyuzi zake.zinanitia uchungu wa maisha na pia napata burudani. Najenga picha anapokuwa anaandika anakuwa anakunywa juice miguu kaweka juu amejilaza kivivu.

Ni mwanaume anayejiamini na mwenye utulivu. Akitukanwa wala hajibu.anaonesha kuwa na dharau kwa watu wasio mwelewa. Nmejikuta tu nmekuwa mpenzi wake.

Wakati mwingine inachosha kusoma habari za majonzi,shida,mateso ,umaskini na unyonge kila siku. Tunataka mambo ya kuburudisha na kupumzisha akili. Ndo maana nikasema leo ngoja nisome hasa hii trip yake ya Bagamoyo nimeipenda sana.

Ni hayo tu kaka na dada zangu.tusiwe tunaponda siku zooooote.sometime hata tusifie mazuri.
Mie mwenyewe nimekuwa addicted wa thread za Kiduku Lilo sana tu na huwa nazisoma mpk mwisho na huwa kuna kitu kikubwa sana nakiona ndani yake!! Mie nakuunga mkono Bi Khadija kwa asilimia zote!!
Na nyie baadhi ya wana JF mmezidi sana kuangalia vitu negative sana tu! Kwan huu uzi una kosa gani mpk mmtoe povu namna hyo!! Mbona kuna member wengi tu huwa wanaanzishiwa thread za kuwasifia na huwa hakuna tatzo?
Hata kama mtu ana Id kadhaa kama hazitumii kuwaumiza wengine Kwann tujali? Big up sana
Bi Khadija kwa kusema ya moyoni ila tambua kwamba humu kuna watu wanapenda kupinga kila kitu mpk waanzisha mada wawe watu wenye "Majina" yao.
Povu ruksa.
 
JF kuna ma forensic experts wanaweza kuangalia muandiko wakapata mpaka alama za vidole.

Mkuu kama kweli basi una kipaji cha "attention to detail" ambacho ni adimu sana.

Yani mchizi kaja na ID nyingine kujipa kongole mwenyewe?
Mkuu hizo ni techniques za kipelelezi, wenyewe wanaita profiling. Sasa kuna aina mbalimbali za profiling kulingana na utaalamu au ubobevu wa mtu.
Mwingine anaweza akaangalia tukia kisha akatengeneza profile ya mtu aliyelitenda. Wengine wanaangalia mwandiko kama hivyo, na wengine ni wataalamu wa picha na uchoraji.
Hata hivyo, heko kwa msela
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.

We jamaa utakuwa investigator (profiler) kama siyo shushushu
 
Mkuu hizo ni techniques za kipelelezi, wenyewe wanaita profiling. Sasa kuna aina mbalimbali za profiling kulingana na utaalamu au ubobevu wa mtu.
Mwingine anaweza akaangalia tukia kisha akatengeneza profile ya mtu aliyelitenda. Wengine wanaangalia mwandiko kama hivyo, na wengine ni wataalamu wa picha na uchoraji.
Hata hivyo, heko kwa msela
Tunaojimwambafy kwa kutaja details zetu sasa tutaogopa kujinafasi JF.

Maana wasiojulikana wana build profile kutoka kila post unayotuma JF.
 
Bado... We umepata?

Ulipata boyfriend?

Kuna wanawake kama mabinti . Wivu tu umewashika.yaani wamejawa chuki na ukimsifia mtu wao wanaumia sana.ndo linalowasumbua hawa...hivyo wanaona kama jamaa kawaweza sana.wala mi hawanipi shida.account yangu itabaki kuwa ya kwangu...ni wivu tu unawasumbua na chuki.kama mtu anaaandika vizuri tutasema.mi wala hainipi shida wanaume kama mabinti hawa wamo wengi tu humu.

Mie mwenyewe nimekuwa addicted wa thread za Kiduku Lilo sana tu na huwa nazisoma mpk mwisho na huwa kuna kitu kikubwa sana nakiona ndani yake!! Mie nakuunga mkono Bi Khadija kwa asilimia zote!!
Na nyie baadhi ya wana JF mmezidi sana kuangalia vitu negative sana tu! Kwan huu uzi una kosa gani mpk mmtoe povu namna hyo!! Mbona kuna member wengi tu huwa wanaanzishiwa thread za kuwasifia na huwa hakuna tatzo?
Hata kama mtu ana Id kadhaa kama hazitumii kuwaumiza wengine Kwann tujali? Big up sana
Bi Khadija kwa kusema ya moyoni ila tambua kwamba humu kuna watu wanapenda kupinga kila kitu mpk waanzisha mada wawe watu wenye "Majina" yao.
Povu ruksa.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom