Ngoja niseme tu Samahani kama nitawakwaza huyu ni mkaka ninayemkubali sana humu Jamii Forum

Gudume
Chizi maarifa
Kiduku lilo
SODUKU
Bi khadija
The same person..
Toka 2017 hua namuumbua ila nayakoga matusi mpaka basi.....

Wageni wangu wameshindwa kuamini kama hali ipo hivi

Apa kwenye kiduku naweza amini
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
Afu mbona kama mwandiko wenyewe ni wakiume, au ndo anajitekenya na kucheka mwenyewe.
"Mtupumzishe *****" joanah said.
 
Pole sana.maana toka ulipoanza kutaka kufanya ukuwadi kama ambavyo unasema kuwa huwa una namba za wanawake wa humu JF unagawa kwa wanaume.nikakataa basi umekuwa na kinyongo.endelea kugawa za hao ulio nao.siku si nyingi utavalishwa dera.maana naona unavyotuma meseji za kipumbavu PM.ungekuwa mwanaume usingehangaika na wanawake wa JF.siyo wote wapumbavu kama uliokuwa unanitajia kuwa unagawa namba zao unapata nawe pesa.mi nina akili,nina kazi.siyo mdangaji

Gudume
Chizi maarifa
Kiduku lilo
SODUKU
Bi khadija
The same person..
Toka 2017 hua namuumbua ila nayakoga matusi mpaka basi.....
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
nawambiaga watu mimi

JF sio FB hawaelewi somo

hivi mzeee ulichukua muda gani fanya comparison?

Mpaka ukagundua vi makosa kosa vya namna hiyo?
 
We nawe una elements za ushoga....ukikataliwa na mwanamke unakuwa na beef. Mtu mwenyewe hata mvuto huna kazi kutaka ukuwadi.... Unapenda sana kudakia mambo ya wanaume na wanawake....we jinsia gani kaka?mbona kama siyo rijali? Khaaaa.... Ukome kuzoea zoea wanawake wa JF.
Haaaaa haaaaa jamani Nimecheka mimi
 
We nawe una elements za ushoga....ukikataliwa na mwanamke unakuwa na beef. Mtu mwenyewe hata mvuto huna kazi kutaka ukuwadi.... Unapenda sana kudakia mambo ya wanaume na wanawake....we jinsia gani kaka?mbona kama siyo rijali? Khaaaa.... Ukome kuzoea zoea wanawake wa JF.
Dada sio kwa hasira hizo
 
Back
Top Bottom