Ngoja niseme tu Samahani kama nitawakwaza huyu ni mkaka ninayemkubali sana humu Jamii Forum

Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
Labda ndicho kilicho mvutia nayeye akaona akiendeleze
 
Kuna watu nliwahi sema walinivutia sana kuja Jamii Forums. Mmojawapo ni gudume. Huyu uandishi wake,visa na mikasa yake ilinifanya niingie JF kila siku kutaka msoma.

Ameongezeka Boss Kiduku Lilo. Huyu jamaa anajua kuandika,hana ugomvi,hana matusi, ana pesa na si mtu wa wanawake anavyoonekana.

Mimi sijui ukweli wake upo wapi.lakini napenda sana fuatilia nyuzi zake.zinanitia uchungu wa maisha na pia napata burudani. Najenga picha anapokuwa anaandika anakuwa anakunywa juice miguu kaweka juu amejilaza kivivu.

Ni mwanaume anayejiamini na mwenye utulivu. Akitukanwa wala hajibu.anaonesha kuwa na dharau kwa watu wasio mwelewa. Nmejikuta tu nmekuwa mpenzi wake.

Wakati mwingine inachosha kusoma habari za majonzi,shida,mateso ,umaskini na unyonge kila siku. Tunataka mambo ya kuburudisha na kupumzisha akili. Ndo maana nikasema leo ngoja nisome hasa hii trip yake ya Bagamoyo nimeipenda sana.

Ni hayo tu kaka na dada zangu.tusiwe tunaponda siku zooooote.sometime hata tusifie mazuri.
Wewe unajipa pongezi
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
Hahah naona wataalam mna muumbua tu taratiiiiiibu.
 
Wewe ulipona?Maana ulinambia ile dawa aliyotumia mama yako ndo na wewe unatumia hiyo hiyo.Unaendeleaje sasa?

Nasumbuliwa na Pumbu erosion,unataka kuja kutumia unga wake unaotoka kwny Poumbu ukasongee ugali?
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
Nikusaidie tu kukamilisha uchunguzi wako Afisa, 1+0=3.
 
Screenshot_2019-10-13-07-46-51-383_com.android.chrome-01.jpeg

Screenshot_2019-10-13-07-47-28-068_com.android.chrome-01.jpeg

What a coincidence! Wote wamefungua akaunti siku moja. Mtu na role model wake.
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.
Hongera mkuu kwa kuibua hii hoja.
 
Wewe ndiye Kiduku mwenyewe.

Kwa nini? Katika uzi wake wa jana alikuwa akikosea kuacha nafasi pale anapoweka nukta. Siyo mara moja au mbili.

Makosa yale yale yanarudiwa na mtu anayedai anamzimia. Is this a coincidence?

Unaweza kusema uongo, ila ukweli haujifichi.

Hatari sana, jaribu kufanya backtesting ya nyuzi zake ni kweli
 
Back
Top Bottom