Demi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tutake radhiii
Asante Mungu mi wa kwangu aliishia kidato cha pili. Ni mke bora hasa. Mnao oa wasomi wenye jeuri, poleni na endeleeni kupambana na hali zenu.Huwezi mbadilsha mwanamke msomi mwenye misimamo yake akubaliane na mambo ya kiboya(according to wao).
Solution ni muache kuwaoa...
mnalalamika as if mmelazimishwa kuwaoa...there are so many good girls wasiosoma sijui kwanini hamtaki kuwaoa.
Hao wasomi hawatabadilika na miaka inavyoenda itakuwa worse zaidi.
Acheni kiherehere bwana😀. Mnalalamika sana Mshana tatizo nini?
Huwa natamani sana siku moja ku-share historia yangu ya ndoa namna nilivyoowa,kwanza nikiwa na umri mdogo na jinsi nilivyokuwa na mitazamo tofauti na matarajio yasiyokuwepo na kadiri ninavyopata uzoefu zaidi ktk maisha haya ili wote hasa vijana (wanaume)wenzangu wapite nilikopita mimi.
Ipo shida kubwa sana kwa wanandoa wapya jinsia zote kutegemea makubwa sana kutoka kwa wenzi wao na kushindwa either kwa makusudi au bila kujua kuendana na mabadiliko yawe ya tabia au ya kimwili na hapa ndo hasa penye tatizo.
That's the fact
Japo umeandika kama masihara ila atakaezingatia ushauri huu atakuwa na maisha mazuri,nina experience na ulichoandika hapa.
Kiherehere chao hawastahili pole hawa😀Asante Mungu mi wa kwangu aliishia kidato cha pili. Ni mke bora hasa. Mnao oa wasomi wenye jeuri, poleni na endeleeni kupambana na hali zenu.
Wanaume ndio tatizo na ndio maana wanakufa haraka mana enzi za manabii wanaume walikua wanaishi miaka mingi mana walisimama katika makusudi ya Mungu kutimiza kazi ya kujenga ulimwengu na kubadilisha uwe sehemu Bora ya kuishi Kwa Sasa wanaume wamekosa umakini wa kujua kuwa adui wa Mwanaume ni Mwanaume Mwenzake . Mfano kama wanaume wangeamua Kwa dhati kabisa kuoa wake wengi Wanawake wasomi na wasio wasomi wangebaki na ushindani wa kuwa na Nidhamu kwenye ndoa mana. Hata michepuko ingepungua sana. Unakuta mwanaume ni Waziri au mfanyabiashara maarufu kabisa lakini ana mke mmoja wa ndoa kama mama mzazi lakini anatembea na wake za wenzake Kwa sababu TU ya nafasi yake badala ya kuoa mabinti wadogo warembo na wasio na waume . Anakimbilia mijimama iliyoko kwenye ndoa kisa anakwepa kugharamika na anamzalisha kabisa mke wa mtu na kumbambikia mwenaume Mwenzake mtoto na kumwachia malezi ya kishetani. Matokeo yake watoto wanaozaliwa kenye ndoa za watu Kwa kificho wanaweza kuoana mtu na Dada yake wa baba mmoja kisa ni jirani kazaa ndani ya Ndoa ya mtu.Huwezi mbadilsha mwanamke msomi mwenye misimamo yake akubaliane na mambo ya kiboya(according to wao).
Solution ni muache kuwaoa...
mnalalamika as if mmelazimishwa kuwaoa...there are so many good girls wasiosoma sijui kwanini hamtaki kuwaoa.
Hao wasomi hawatabadilika na miaka inavyoenda itakuwa worse zaidi.
Acheni kiherehere bwana[emoji3]. Mnalalamika sana Mshana tatizo nini?
Mi mwenyewe hapo pa 'ishini nao kwa akili' sielewagi,maana unakuta mke wa mtu anagawa kinoma hadi anafumaniwa,ila mumewe hamuachi,ndo hizo akili?hii iitwayo akili ni nini sana sana? Ujue hii inanifanya sitaoa kabisa
Umenena vyema mkuu.Wanaume ndio tatizo na ndio maana wanakufa haraka mana enzi za manabii wanaume walikua wanaishi miaka mingi mana walisimama katika makusudi ya Mungu kutimiza kazi ya kujenga ulimwengu na kubadilisha uwe sehemu Bora ya kuishi Kwa Sasa wanaume wamekosa umakini wa kujua kuwa adui wa Mwanaume ni Mwanaume Mwenzake . Mfano kama wanaume wangeamua Kwa dhati kabisa kuoa wake wengi Wanawake wasomi na wasio wasomi wangebaki na ushindani wa kuwa na Nidhamu kwenye ndoa mana. Hata michepuko ingepungua sana. Unakuta mwanaume ni Waziri au mfanyabiashara maarufu kabisa lakini ana mke mmoja wa ndoa kama mama mzazi lakini anatembea na wake za wenzake Kwa sababu TU ya nafasi yake badala ya kuoa mabinti wadogo warembo na wasio na waume . Anakimbilia mijimama iliyoko kwenye ndoa kisa anakwepa kugharamika na anamzalisha kabisa mke wa mtu na kumbambikia mwenaume Mwenzake mtoto na kumwachia malezi ya kishetani. Matokeo yake watoto wanaozaliwa kenye ndoa za watu Kwa kificho wanaweza kuoana mtu na Dada yake wa baba mmoja kisa ni jirani kazaa ndani ya Ndoa ya mtu.
Wanaume wakiamua kubadili hali ya Wanawake kuwa tatizo kwenye jamii wanaweza . WANAWAKE wengi siku hizi wanazaa hovyo hovyo na waume za watu halafu wanaficha baba Halisi wa mtoto jambo linalosababisha miaka ijayo ndugu wengi wataoana . Hii ni laana Kubwa Kwa jamiii. Ndio maana Dunia inakumbwa na majanga yanayoathiri jamii nzima na hata kusababisha matukio mabaya kama ushoga , ubakaji, ulawiti, panya rodi n.k. ni mambo yanayoipiaga na kuiumiza jamii nzima.
Mbaya zaidi sio serikali Wala dini inayosimama na kumulika tatizo hili na kulitolea majibu na kuliwekea utaratibu wa kisheria ili kuiokoa jamiii. Wanadamu siku zote wasipowekewa SHERIA HAWAWEZI kuwa wastarabu. Hata kwenye sherehe panakua na utaratibu wa kupanga Foleni na kuchukua chakula. Usipoweka utaratibu hata maprofesa watanyanganyana chakula na kupigana.
Vinginevyo tukubali TU kuwa tunaelekea kuwa kama Huko Ulaya ambapo wanaume Kwa wanaume wanaoana . Pia Wanawake Kwa Wanawake wanaoana. Wao wanasema kuwa jinsia Moja wako committed sana kwenye urafiki na makubaliano . Wengine wanafunga ndoa TU kama mapatina wa kuishi pamoja kama marafiki wa kudumu kufa na kuzikana. Japo wabongo wanwaza kuwa ndoa zote za jinsia Moja ni Kwa ajili ya kulawitiana. Wengine ni marafiki TU wa kudumu wanakula kiapo. Zamani kwenye Mila za Kiafrika palikua na marafiki wanachanjiana damu na kuzigusanisha ili wawe kama ndugu wa kuzaliwa na palikua na matambiko yake ya kuwa waaminifu na kushirikiana kama ndugu wa damu.
Akili ni kumfanya mke wako asigawe nje.Mi mwenyewe hapo pa 'ishini nao kwa akili' sielewagi,maana unakuta mke wa mtu anagawa kinoma hadi anafumaniwa,ila mumewe hamuachi,ndo hizo akili?
kuna vitu basic sana ambavyo nadhani ni kama basic principles za kuishi na mwanamke, hasa ufahamu wa mwanamke yukoje na anapaswa kuwa treated vipi ndio wengi tunaikosaMi mwenyewe hapo pa 'ishini nao kwa akili' sielewagi,maana unakuta mke wa mtu anagawa kinoma hadi anafumaniwa,ila mumewe hamuachi,ndo hizo akili?
Wana sayansi ya jamii Wana sema hivi ''The women of yesterday are long gone, in past women used to cook like their mothers but today they drink like their fathers''Huwezi mbadilsha mwanamke msomi mwenye misimamo yake akubaliane na mambo ya kiboya(according to wao).
Solution ni muache kuwaoa...
mnalalamika as if mmelazimishwa kuwaoa...there are so many good girls wasiosoma sijui kwanini hamtaki kuwaoa.
Hao wasomi hawatabadilika na miaka inavyoenda itakuwa worse zaidi.
Acheni kiherehere bwana😀. Mnalalamika sana Mshana tatizo nini?
Kama vitu vingi vinabadilika na wanaume pia wanabadilika iweje mwanamke abaki hivyo hivyo kama miaka mia iliyopita? Itawezekana vipi?Wana sayansi ya jamii Wana sema hivi ''The women of yesterday are long gone, in past women used to cook like their mothers but today they drink like their fathers''
Umeandika vyema.Mtazamo wangu tatizo ni moja, kipindi cha kampeni ya kumkomboa mwanamke walihasau kumjumlisha mwanaume, walijikita zaidi kumuelimisha na kumkomboa mwanamke bila ya kuzingatia wanamkomboa toka kwa nani, na je huyo mwanaume aliyezoea kumuona mwanamke hana thamani (kitu) sio mtu atalichukulia vipi hili japo pindi mwanamke anapotambua nafasi na thamni yake katika jamii. Mwisho wa siku kuna wengine wamechukulia hili jambo kama vitu, baada ya kujua thamani yao kuitumia vizuri kataika jamii zao wamejaa viburi, upande wa pili wanaume nao hawako tayari kuona hiyo thamani ya mwanamke inayohubiriwa.
Lakini tukirudi nyuma, hao wazee wa zamani wanandoa zinazodumu sio wote wanaupendo au furaha, ni vile hawana pa kwenda, hawawezi kuishi bila kutegemea waume zao. Sasa hili kundi la pili la wasomi ndo kina tusipeane shida, kama hakuna upendo, heshima tafadhari kila mtu aendelee na utaratibu wake siko hawako tayari kuishi kama watumwa ili tu kumfurahisha mtu.
hapa ndio tunaihitaji shule hio zaidi ni ipi au ni yapi, walau kwa kuyaainishaMwanamwaiche kama bado hujakomaa kiakili si vema kuoa kwakuwa ndoa ni zaidi ya haya tunayosimuliwa
Kwamba wazee wetu walikuwa sahihi kutosomesha ke ?? Au Sangoma unataka kusemaje naona unazunguka mbuyu.wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"[emoji23]
100%Umeandika vyema.
Kwa kuongezea hapo, wanaume inabidi wakubaliane na haya mabadiliko ya wanawake waliokombolewaa itawapunguzia kulalamikia wanawake wa kizazi hiki
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hahahhaah uwe shababi, tizi kinoma ukimkamata alie kizungu na kilugha chao kisikie hapo atazunguka ila atarudi.Dawa yao kipara cha jihad kila inapofika kipindi cha mechi...kisugue mpaka kivilie damu [emoji23] [emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kuna vibomba vya kuchambia pia ni tatizo, kwa ufupi wakae kijijini kabisaaaa, kupika kwa kuni, maji kwa kichwa nkLakini hata ujio wa dirdo na lesbianism ni vya kulaumiwa sana[emoji24]