Ngoja nikafikirie kwanza/nitakujibu baadae

Ngoja nikafikirie kwanza/nitakujibu baadae

Zama hizi hata wale kuinamisha kichwa chini ukiwa unatongoza ni wachache.

Zama hizi ni mwendo wa kuangaliana.

Mwendo wa kikauzu kauzu tu.

Ukifanya mchezo aibu utaona wewe wa jinsia ya Kiume
 
Kutongoza..?!
Neno la kizamani sana hilo, siku hizi halipo...
Au nyie ni wahenga!?
 
Kwani "uhenga" ni ugonjwa? La hasha! , ni baraka za toka kwa Mwenye Enzi Yote.
Kuna Maemo wa kiingereza unasema. "Old age is not a disease -it is strength and survivorship, triumph, over all kinds of vicissitudes and disappointments, trials and illnesses and most importantly, indefatigable spirit".

Now bring back the Swahili words "kutongoza", "kusalandia", "kumendea", "kufukuzia". Na mengine mengi.
Long live Wahenga and the newbies.Just
 
Siku hizi wamepungua... unafanya mtihani na majibu yako unayapata hapo hapo wengine hadi cheti anakutunuku.

Kulikuwa na utaratibu huu pia.. wahenga wataudadavua zaidi "D mimi staki bwana ujue " hadi anakuvulia anasema-ga mimi staki bwana.

Siku hizi nao umekwisha.

Imebidi nirudie kusoma kama mara tatu hivi ndio nikakuelewa kaka masai.

Haya bwana. Hivyo wengine wanatunuku na cheti siku hiyo hiyo lol.
 
Hahahaahhahahaahahahahaha wanalipua yaliyomo moyoni sio lol !! Hatareeeeeeeeeeeeee!! Halahala tu baby wamimi Smart911 waniachie mwenyewe..Tunawezana. Wasije kikufundisha ukware teh . But I know they can't take you away from me



Mahondaw wa Smart911
Hakuna wakunifundisha chochote love...

I have left my heart with you... But my brain is with me everywhere i go...
 
Hii bado ipo ila ni kwa umri kuanzia 14 hadi 19
 
Back
Top Bottom