Mkamia: Ngoja na mimi nipate kumbukumbu na Watani zangu na kombe la maana hapa,ile team yetu inaletaga vibao tu huku.
Makala: Kumbukumbu na Kombe kubwa muhimu bwana,aisee mpiga picha usije ukanikata bwana.
Azzan: Pamoja na kwamba ni chungu kutamka lkn Yanga Oyeeeee.
Mlata: Inatosha,inatosha nipe na mimi nibebe.
Pinda: Inatosha,mpe na mwenzako wewe usifanyie ndalilo.
Pinda: Haya piga,piga...hili bonge la kumbukumbu
Mlata: Linanielemea/zito....sijui limetengenezwa kwa material gani.
WAKATI WAHESHIMIWA WAKILIGOMBANIA KOMBE NAMNA HII EMBU TUENDELEE KUJIKUMBUSHA UPANDE WA PILI ILIKUWAJE WALIVYOTINGA MJENGONI....
Sitta: Picha tutapiga lkn hicho kibao chenu bebeni wenyewe.
Sarungi: Lingekuwa Kombe sawa lkn hiki kibao...ah...anyway...