Ngoja na mimi nipate kumbukumbu....

Ngoja na mimi nipate kumbukumbu....

Anselm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
1,710
Reaction score
291
attachment.php

Mkamia: Ngoja na mimi nipate kumbukumbu na Watani zangu na kombe la maana hapa,ile team yetu inaletaga vibao tu huku.

attachment.php

Makala: Kumbukumbu na Kombe kubwa muhimu bwana,aisee mpiga picha usije ukanikata bwana.

attachment.php

Azzan: Pamoja na kwamba ni chungu kutamka lkn Yanga Oyeeeee.
Mlata: Inatosha,inatosha nipe na mimi nibebe.
Pinda: Inatosha,mpe na mwenzako wewe usifanyie ndalilo.

attachment.php

Pinda: Haya piga,piga...hili bonge la kumbukumbu
Mlata: Linanielemea/zito....sijui limetengenezwa kwa material gani.

WAKATI WAHESHIMIWA WAKILIGOMBANIA KOMBE NAMNA HII EMBU TUENDELEE KUJIKUMBUSHA UPANDE WA PILI ILIKUWAJE WALIVYOTINGA MJENGONI....

attachment.php

Sitta: Picha tutapiga lkn hicho kibao chenu bebeni wenyewe.
Sarungi: Lingekuwa Kombe sawa lkn hiki kibao...ah...anyway...
 

Attachments

  • Kaseja.jpg
    Kaseja.jpg
    75.1 KB · Views: 82
  • Mkamia.jpg
    Mkamia.jpg
    78.5 KB · Views: 90
  • Makala.jpg
    Makala.jpg
    32.5 KB · Views: 76
  • Azzan.jpg
    Azzan.jpg
    38.7 KB · Views: 81
  • Pinda.jpg
    Pinda.jpg
    54.9 KB · Views: 77
Yani kwa simba kupata hicho kiyu ni ndoto ya mchana kweupee, any way nasi tutachupeleka ngao ya hisani na urafik
 
attachment.php


Mkamia hadi anasinzia kabisa. Kanogewa na kikombe cha waume zake kutoka mitaa Jangwani/Twiga!
 
Back
Top Bottom