Ngoja hela ya pensheni iishe tuone kama itakuwa hivi ng'winili ng'winili.!

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,625
1,325
9908b98f4c9218f66bf7c423af754936.jpg
 
Waweza kuta kijeba kina uchumi wake mzuri tu sio pesa za mawazo kuhonga vitz au passo kwa ghafla bila kutetereka basi ndio vinapotipigia bao hapo viliwekeza toka kitambo vinakula mema ya dunia tartiiibu.
 
Ukimuona mtoto anachezea matope usimkataze huo unakuwa ni wakati wake kwasababu mtoto asipo chezea matope akiwa mdogo ujue ataanza kuchezea ukubwani.
 
Back
Top Bottom