Ngoja anipigie simu ananiona ----...!

Kwa mtindo huo sisi wa mikopo hatuwapati wachaga
 
haaaaaaa na wewe umezid promise less ...
pole sana elewa bint matunzo kwa maana hii pepo la pesa lina nguvu zaid
 

wanaume mabwege hawaishi!wakiingia anga zako we kamua tu
 
na nyie mnayatafutaga acha yawakute, unamuhudumia mtu ambae wala si mkeo wala ndunguyo kisa nini? umekuwa mzazi wake au kaka yake?


Mrs Leo niekupenda bure, wewe ni mdada lkn umeongea ukweli ambao hakuna mdada anayeweza kuusema. Vijana wa kiume tunahitaji kurudi ktk sense zetu.
 
na nyie mnayatafutaga acha yawakute, unamuhudumia mtu ambae wala si mkeo wala ndunguyo kisa nini? umekuwa mzazi wake au kaka yake?


Dada yangu,Shukuru umezaliwa mwanamke!
Mbunye ni kitu kingine kabisa kisicho mfanowe,acha tu watu waendelee kuwahudumia watu baki!

Ni kakiungo katamu balaaa!!
Pole kama hukuwahi hudumiwa na mtu asiye mumeo wala nduguyo.

 

Dada yangu,Shukuru umezaliwa mwanamke!
Mbunye ni kitu kingine kabisa kisicho mfanowe,acha tu watu waendelee kuwahudumia watu baki!

Ni kakiungo katamu balaaa!!
Pole kama hukuwahi hudumiwa na mtu asiye mumeo wala nduguyo.


Hahah!!!
 

hujaacha tu!!!
 

Mimi ukiniweka blacklist natumia namba nyingine kukupigia simu. Pia kwani ukienda kutibiwa ndio mawasiliano yanakatika au sijakuelewa vizuri hapo lara?
 
una bahati ulitaka kupigwa changa la macho dili imebuma...
 
lara1 hujui kuwa akitaka jua kama umesafiri atajua tu kwa kukuomba passport?
Watu hata kudanganya hamjui
 
Last edited by a moderator:
sasa kwa nini mpaka leo ujanitumia nilirudi jmosi bwana ... mbona hivyo tena sikutaki tena mwanaume unaombwa hela mda wote hutumi ndo nini.... alafu nataka laki mbili naomba nitumie
 
Mkuu naona unamindi mambo madogomadogo,please nipe namba yake ili nikusaidie kazi
 

Hahahahah.... Lara one.; mama wa Mipango.
 
jamani usifanye usanii na ugonjwa utaugua kweli na utapelekwa nje......., tafuta usanii siyo kwenye magonjwa
Hahahaaaaa! Naumwa kweli na referal ninayo sema tu msjiko ndo sina najitibia hapa hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…