NGO zinatuharibia:JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NGO zinatuharibia:JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Jun 17, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Rais Kikwete amesema kuwa mashirika mengi yasiyo ya kiserikali yamekua yakiponda kuhusu bara la afrika na hata hayataki kusifia kuhusu chochote,jk amesema hayo alipokua akijibu maswali ya washiriki baada ya kuhutubia huko kwenye mkutano wa 100 wa ILO.alidai kua wananchi weengi hawana uzalendo kwenye bara la afrika......na akaongeza kwa kusema kuwa rais kwenye nchi zinazoendelea ni changamoto kubwa sana....maana NGO hupenda kuandika mabaya kuhusu Afrika ili zipate pesa kwa wafadhili.....alijibu swali hilo baada ya kuulizwa na mshiriki kutoka Cameroun ambaye alimuuliza inakuaje nchi za afrika zinaandikwa vibaya wakati watawala wanbaona na hawachukui hatua?SOURCE-HABARI LEO LA LEOHAYA WADAU JK AMEAMUA KWENDA KULILIA GENEVAAA
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kwani sisi hatuoni kinachotokea pita mitaa ya kariakoo watoto wa naoishi mazingira magumu wamejaa huko! sasa analialia nini mbona yeye mwenyewe na mkewake wameanzisha UWAMA,
  JK mnafiki kama pinda!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  akadai kua kwa sasa nchi yake imeendelea sana kwani wakati inapata uhuru barabara za lami hazikuzid km 100 kwa sasa ni zaidi ya km 7000 na zaidi ya graduates 124,000,pia mainjinia kibaaao
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Unafiki tu huo.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  rahisi wa watanzania huyooooo........Nadhan hapo alitaka wafdhili wamsikie anapiga kaziiiiiii.......wamuongezeee pesaaaa
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ...alidai kua wananchi weengi hawana uzalendo kwenye bara la afrika....Hao wachache wenye uzalendo ni wepi? na wanafananaje au wamekuwa wanafanya nini hasa tofauti na 'wananchi wengi' ili kudhihirisha uzalendo wao?

  ....NGO hupenda kuandika mabaya kuhusu Afrika ili zipate pesa kwa wafadhili ... Ni juzi tu Mama Salma alikuwa Marekani akiomba msaada kama mwenyekiti wa WAMA. Je Rais anaweza kutuambia Mama Salma aliandika nini kibaya hasa kuhusu serikali?
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa asipoandaliwa maswali na majibu matokeo yake ndio hayo anaropoka tu... haya basi hao wafadhili wasiwaamini NGOs waje wenyewe wajionee fedha zao zinavyotumika
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Pumbafu yake, hizo barabara si za mkoloni wao kila siku wana ziripea tena kwa ufadhili, wajenge za kwao mpya kama wanaubavu. unafiki mtupu anaouzungumza kubwa zima halioni aibu kuzungumza mbele ya mabosi wake
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nachotaka kufahamu kwanini rais huyu mlalamishi sana????kwanini haachi kulalamika????NGOs mbona si vitu vya kuvilalamikia????
   
 10. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  HAKI ELIMU, hii ni siiiipiiiiyuuuuuuuu..... ukitaka kuzima kompyuta yako unaenda ......... utaona kompyuta yote
  inageuka rangi na kuwa ya bluu. hapo kompyuta yako ndo inazima. ni rahisi sana... tungekuwa na kompyuta
  mngejionea...
   
Loading...