Jana nilitoa Thread inayouliza ""asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?""
Heading hii ilivuta hisiaza wanajamii wengi sana kiasi kikanipa jib kwamba wanajamii wengi wanaushabiki wa vyama na si Reality,, Ushabikiwa vyama si mzuri kwakuwa hata tukimchagua mtu,, tunakuwa tunamchagua mtu na si chama,,, na suala la performance ni yakwake yeye na si chama,,
Binafsi napenda nione mabadiliko ya uongozi,, kwani kinachotula sisi ni KATIBA TU,, ikibadilishwa hii,, every thing will be fine,, na CCM hawataki kwakuwa inawalinda wao..
SWALA LA NG'IHILI.. Ng'ihili hakuwa na sababu ya kuongea vile KIMAADILI ya Kitanzania na UTU pia kwa sababu zifuatazo..
1. Ng'ihili ni mfano wa Watuwanaohitaji mabadiliko na wananchi wanahitaji wajifunze kwake ili imani ya wananchi iangukie kwake,, kama anatoa lugha iliyolenga kumkashifu Raisi aliye madarakani MAANA YAKE YEYE HANA MAADILI,, na mtu asiye na maadili atagombeaje uongozi,,
2. CHADEMA kinatafuta kuchukua nchi ilikiipeleke mahali sahihi Kama wengi tunavyo amini,, lakini kumuaminisha mtu kwa kutumia maneno ya kashfa unaweza usipate suport kwani watu wenye akili zao timamu hawawezi kukuruhusu uwe kiongozi wao awe mtu wa kutoatoa kashfa Hadhalani...
3. Ninauhakika DR. SLAA hakukifurahia kitendo kile hata kidogo,,
Kwa hiyo NG'IHILI alikosea na sisi tusiwe na ushabiki wa kijinga wa kichama,,

Tukumbuke hata Mchungaji Mtikila alimwambia Rais wa nchi kuwa alikuwa MPUUZI... likaonekana tusi akafunguliwa kesi na baadaye Mchungaji akashinda baada ya mahakama kupata mzizi wa neno lenyewe..