Ngereja akataliwa Sengerema

Ngereja akataliwa Sengerema

Joined
Feb 21, 2015
Posts
74
Reaction score
34
Wananchi wa jimbo la Sengerema wamesusia mikutano ya mbunge wao kwa sababu zilizotajwa na watu wake wa karibu kuwa alikuwa harudi kuwaona hivyo ameona uchaguzi umekaribia ndio anarudi.

Wamemwambia amerudi kufanya nini, wamemwambia akaendelee na shughuli zake.

Naomba kuwasilisha.
 
Sengerema maji ni shiiida, nimemuona leo mida ya saa 18:30 kwenye gari lake, watu wa people's naona huku wamechachamaa wanalitaka jimbo kwa nguvu, katika maongezi nikasikia mpinzani wake wa people's power wanatoka kijiji/kata moja ni mfanyakazi huko Iringa. waiting to see.but Sengerema maji ni shida kuliko hata Singida.
 
Hata pale kwao kabisa Bitoto ukipaona huwezi dhani kiongozi mwenye maghorofa yale ya msasani anatoka hapo.
 
wanainchi wa jimbo la sengerema wamesusia mikutano ya mbunge wao kwa sababu zilizotajwa na watu wake wa karibu kuwa alikua harudi kuwaona ivo ameona uchaguzi umekaribia ndo anarudi ,wamemwambia amerud kufanya nn wamemwambia akaendelee na shughuli zake. naomba kuwasilisha
Muda wa watu kudhalilika ndio huu,lakini jamani shughuli zake moja wapo si ndo hiyo ya Kulaghai wananchi?
 
Sengerema maji ni shiiida, nimemuona leo mida ya saa 18:30 kwenye gari lake, watu wa people's naona huku wamechachamaa wanalitaka jimbo kwa nguvu, katika maongezi nikasikia mpinzani wake wa people's power wanatoka kijiji/kata moja ni mfanyakazi huko Iringa. waiting to see.but Sengerema maji ni shida kuliko hata Singida.
ziwa victoria lipo pale, sometimes nadhani solution sio mbunge bali ni tabia za wakazi wa pale

Ukipita sengerema mitaa ya saa saba hadi saa tisa utakua baiskeli pembeni ya barabara watu wanakunya kila kona, hakuna vyoo...

Vitu vingine wakuu ni vya kujitakia, hata aje mbunge gani pale, kama wale jamaa hawaacha mambo ya kale, wataishia kuchukia kila mtu
 
Wabunge/wanasiasa huwa wanakosa akili ya kuishi na wapiga kura wao kabisa,sijui huwa wanapitiwa na nini?
 
ziwa victoria lipo pale, sometimes nadhani solution sio mbunge bali ni tabia za wakazi wa pale

Ukipita sengerema mitaa ya saa saba hadi saa tisa utakua baiskeli pembeni ya barabara watu wanakunya kila kona, hakuna vyoo...

Vitu vingine wakuu ni vya kujitakia, hata aje mbunge gani pale, kama wale jamaa hawaacha mambo ya kale, wataishia kuchukia kila mtu

Hahahah kwahiyo mida hiyo wameshashiba ni kukata magogo tuu heeee
 
ziwa victoria lipo pale, sometimes nadhani solution sio mbunge bali ni tabia za wakazi wa pale

Ukipita sengerema mitaa ya saa saba hadi saa tisa utakua baiskeli pembeni ya barabara watu wanakunya kila kona, hakuna vyoo...

Vitu vingine wakuu ni vya kujitakia, hata aje mbunge gani pale, kama wale jamaa hawaacha mambo ya kale, wataishia kuchukia kila mtu

Hahaha! mkuu kuna tafsida, kwahiyo wakijisaidia kwenye vyoo maji yatakuja? mkuu chuki gani na mbunge yeye anaelewa vema kuwa Sengerema maji ni shiiida, hakuna hata initiative ambayo mtu anaweza sema mheshimiwa saaaaana amechukua ikashindikana, kuhusu ziwa kuwa karibu naona hauko well informed, kwa hoja hiyo watu wa Dar ungewaambia wafate maji mto Ruvu kwa ndoo!!!!.
 
hahahaaaa, we acha kabisa

kutokua na choo ni ishara kwamba watu hawajishughulishi ipasavyo

Kuna maeneo yana shida na makame kama singida, mbulu, kondoa, dodoma, wamechimba visima, wametandika mabomba na wanapata maji... tena wamefanya kwa shida maana kuna ukame... sasa Sengerema wana ziwa victoria, ardhi yao teketeke, nguvu wanazo, hata water table iko juu, wangefanya jitihada binafsi wangefanikiwa zaidi kuliko kumsubiri ngeleja mzee wa kujipoza na wa wenzake

Naijui sengerema vizuri sana, nimepita karibia kila kijiji...

Ila mkuu ile ya mabaiskeli pembeni ya barabara inachekesha na kutia aibu sana, niliikuta hadi buchosha, mbaya zaidi hata wilaya ya magu hali hiyohiyo, nje tu ya ramadi unakuta jamaa wamechuchumaa, vichwa juu kama koboko anawinda, kumbe wanakata magogo:heh::heh:
 
Huyu Dogo Acha apumzike,hafai tena Sengerema,awapishe na wengine,tena Kama anao washauri waZuri asisubutu kugombea ataaibika na hasara kubwa....!! NGEREJA SENGEREMA USIENDE,UTAAIBIKA KAMA MASHA MWANZA.....visent vyako tunza kula na wanao.....!!
 
Hafai anafaaa bibi yako kule kijijini, acha kuongea ongea pumba wewe, juzi wazee wamepeleka ng'ombe kumi kule ina maana wewe unaona hakubaliki na hatakiwi, juzi kazindua kituo cha afya kipya kule kijijini Nyamatogo, unaropokwa kama mtu aliyejifungua juZi
 
hahahaaaa, we acha kabisa

kutokua na choo ni ishara kwamba watu hawajishughulishi ipasavyo

Kuna maeneo yana shida na makame kama singida, mbulu, kondoa, dodoma, wamechimba visima, wametandika mabomba na wanapata maji... tena wamefanya kwa shida maana kuna ukame... sasa Sengerema wana ziwa victoria, ardhi yao teketeke, nguvu wanazo, hata water table iko juu, wangefanya jitihada binafsi wangefanikiwa zaidi kuliko kumsubiri ngeleja mzee wa kujipoza na wa wenzake

Naijui sengerema vizuri sana, nimepita karibia kila kijiji...

Ila mkuu ile ya mabaiskeli pembeni ya barabara inachekesha na kutia aibu sana, niliikuta hadi buchosha, mbaya zaidi hata wilaya ya magu hali hiyohiyo, nje tu ya ramadi unakuta jamaa wamechuchumaa, vichwa juu kama koboko anawinda, kumbe wanakata magogo:heh::heh:

Kijiji gani unakijua wewe, kazi kutokwa mvuke tuu
 
Wananchi wa jimbo la Sengerema wamesusia mikutano ya mbunge wao kwa sababu zilizotajwa na watu wake wa karibu kuwa alikuwa harudi kuwaona hivyo ameona uchaguzi umekaribia ndio anarudi.

Wamemwambia amerudi kufanya nini, wamemwambia akaendelee na shughuli zake.

Naomba kuwasilisha.
Si wazee walikuja na ng'ombe 10 kumtaka hagombee tena

swissme
 
Huyu Dogo Acha apumzike,hafai tena Sengerema,awapishe na wengine,tena Kama anao washauri waZuri asisubutu kugombea ataaibika na hasara kubwa....!! NGEREJA SENGEREMA USIENDE,UTAAIBIKA KAMA MASHA MWANZA.....visent vyako tunza kula na wanao.....!!
Nimeona kinachoendelea haoa kwetu na nikajua kwamba hakuna demokrasia ya kweli. Mtu akitaka kufanya mageuzi na kutumia haki take kikatiba anatengenezewa zengwe ili aonekne hafai.
Ngeleja amekuwa waziri na wote tunalijua hilo. Amefanya kazi kubwa sana. Ila baada ya kuona nithreat kwa baadhi ya watu likatengenezwa zengwe ili kumchafua.
Hivi tujiulizs kweli katika jimbo loote la Sengerema ina maana hakuna walionufaika vizuri na uongozi wake?
Kwanza wale wote waliokuwa wakimuuliza maswali ni watu waliopandikizwa kisiasa ili kueneza chuki dhidi yake ila alitulia na kuwapa majibu.
Watanzania sisi tumegeuka wanyama kiasi cha kwamba mtu unamuokoa toka shimoni ila akitoka anatamani akutfune pia. Ngeleha kafanya mengi jimboni mwenye macho haambiwi tazama. Tuache ushabiki
 
Back
Top Bottom