Sengerema maji ni shiiida, nimemuona leo mida ya saa 18:30 kwenye gari lake, watu wa people's naona huku wamechachamaa wanalitaka jimbo kwa nguvu, katika maongezi nikasikia mpinzani wake wa people's power wanatoka kijiji/kata moja ni mfanyakazi huko Iringa. waiting to see.but Sengerema maji ni shida kuliko hata Singida.
Kwa taarifa yako Ngeleja ameanzisha mradi wa maji toka ziwa Victoria. Na utaisha mwezi June. Tuache ushabiki mnyonge mnyonge haki yake mpatie