Msukuma alikutana na Mhispania asiyejua Kiswahili wala Kiingereza kaja kujifunza kucheza ngoma za Kisukuma ndani ya Bujora, Msukuma akasema "Mhola?", Mhispania kusikia hivyo akafikiri Msukuma kaongea Kihispania kasema "Hola" akamjibu "Hola".
Wote wakawa wamekamilisha salamu, Msukuma kaongea Kisukuma (Mhola? = Salama?) na Mhispania kasema Kihispania (Hola = Hello)
Penye nia pana njia.
Bora kujaribu ukashindwa watu wanaweza kujua umeshindwa wapi, kuliko kutojaribu kabisa.