Ngeleja: Zitto ni Mbunge halali wa CHADEMA

Ngeleja: Zitto ni Mbunge halali wa CHADEMA

Huyu ngeleja mbavu kweli kweli, anatoka wapi kuwajibia Chadema maswali yao . Na swala la uanachama wa zitto upon wazi wazi maswali ya nini tena?? Zitto ni mfa maji 2015 ndo atakiona cha mtemakuni
 
Ndiyo ujue huyo kibaraka wa CCM Bwana Zitto alivyo.Wanaouliza swali ni wanachama wa CCM na anayejibu ni Mbunge wa CCM.

Shame!
 
Hao ni wabunge wa wananchi, Mahakama haina wabunge kwa mfumo wa siasa wa nchi yetu.


Sent from my iPad using JamiiForums

hivi waligombea kwa chama gani? Na je wakivuliwa uanachama wanakuwa wabunge chini ya chama gani? Kwa hiyo mawazo bado ni ccm au?
 
Sengerema ni moja ya majimbo maskini mno Tanzania!Hawana maji;umeme wa uhakika wala matibabu!!Ngeleja wape wapiga kura wako maji kama ulivyo wahaidi 2010;achana na haya mambo ya Zitto!!

Kuwapa watu wako maswali ya kuuliza ukikwepa maswali mazito ya kukosa huduma muhimu kwa wapiga kura wako ni UWENDAWAZIMU
 
Wewe mbululu, tangu lini mahakama zikachagua wabunge? Yaani chadema imekuwa zaidi ya wananchi au zitto alipigiwa kura na chama chenu?

sema wachaga walishamuadhibu

Kuhusu kamati ya kitaifa (hususan M2 & M3):
Tulikubaliana kwa kauli moja kwamba katika kutekeleza mkakati huu tunahitaji members hawa wawe wametulia kimaisha. Inakuwa vigumu kwa mfano kumtaka member aende mahali fulani kwa makusudi ya mkakati huu wakati hajui familia yake nyumbani anaiacha inakula nini. Tuliona kwamba M3 tayari hana kazi kwa sasa tena kwa kufanyiziwa na wakuu waliopo. Ni katika mwendelezo huo huo tunamwona M2 naye akiwa ukingoni kupigwa nje na kuachwa mtupu na wakuu waliopo katika kile wanachokiita wao reshuffle ya ofisi kuu. Kwa sababu hiyo tukapendekeza kwamba MM kwa kushirikiana na M1 kwa hatua ya kwanza wanaweza kutafuta kiasi cha sh. 2m kila mmoja tukijua kwamba kama members hawa wawili wakisaidiwa milioni mbili mbili wanaweza kuanzisha projects ambazo zitawasustain hata kama hawana ajira. Kwa hatua ya baadaye tutasaidiana kuona kama hawa members wanaweza kusecure good employments mahali, provided hazitawazuia kufanya siasa.
 
Ajabu kweli! Mkutano wa mbunge wa ccm unaulizwa habari za chadema na bado unachekelea? Kiufupi ni kuwa watu wote waliokuwa pale mioyo yao ilikuwa chadema.
 
Kwani uhalali wake wa kuwa mbunge umeshikiliwa na kitu gani ?
 
Ajabu kweli! Mkutano wa mbunge wa ccm unaulizwa habari za chadema na bado unachekelea? Kiufupi ni kuwa watu wote waliokuwa pale mioyo yao ilikuwa chadema.



Nimeamini chadema ni kama 😛eace: majo, usipoyaogA utayanywa..dah alafu wanajidanganya eti chadema imekufa thubutu...labda wao ndio wamekufa
 
Zitto kawapatia kweli chadema, yupo bungeni na kamuaibisha "mwanasheria msomi" wao Tundu Lissu, kagaragazwa na kijana mdogo kabisa kisheria.

Sasa chadema wamemgeuka Tundu Lissu eti alifanya makusudi kushindwa ni njama na Zitto!

Mshamsikia Tundu na chadema hivi karibuni?

Kimenuka!
 
Mambo ya chadema yanamhusu nini Ngeleja? Ngeleje azungumzie mambo ya chama chake. Yeye ni miongoni mwa watu waliojitangaza kugombea Urais, pamoja na mawakala kama yeye ndani ya chama chake. Mmmmmmmmh, watu hata Urais wa nyumba zao hawajaweza, watawezaje kuongoza nchi?_

Ngeleja fisadi, uwezo finyu, Kiswahili hafifu kajaa majigambo aje kuwa rais wa nani? Labda rais wa kijjjini kwao Bitoto maana hata uwaziri atausikia baada ya kuiba na mafisadi wenzake
 
Hapa Ngeleja amezungumza kisheria zaidi na ndio ukweli wenyewe. Tenda haki na simamia haki kwa wakati
 
Back
Top Bottom