Zing JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 1,767 Reaction score 470 Mar 8, 2011 #1 kila wizara imesimika generator standby. tena makubwa tu Yale magenerator ya BOT inasemekana yanatosha kusambza umeme mkoa wa dodoma na singida kwa pamoja. Hata Pale ikulu pia inawezekana kuna standby generator na standby generator Je kwa style hii mgao utaisha.? JK na Ngeleja ina backup. teh teh teh piga marufuku matumizi ya generator anza na wizara ya Nishati. Toa mwaka mmoja kwa wizara nyingine nazo ziuze magenerator yao. waambie ikulu hapo wauze mageneator. waambie umeme wa taneso ukikatika na wewe unataka kukaa gizani. Labda ni kwa sababu tatizo la umeme haliwaathiri ikulu, BOT wizara ndio maana wanasinzia. Hayo ma generator ni kama kila wizara ina dowans yake
kila wizara imesimika generator standby. tena makubwa tu Yale magenerator ya BOT inasemekana yanatosha kusambza umeme mkoa wa dodoma na singida kwa pamoja. Hata Pale ikulu pia inawezekana kuna standby generator na standby generator Je kwa style hii mgao utaisha.? JK na Ngeleja ina backup. teh teh teh piga marufuku matumizi ya generator anza na wizara ya Nishati. Toa mwaka mmoja kwa wizara nyingine nazo ziuze magenerator yao. waambie ikulu hapo wauze mageneator. waambie umeme wa taneso ukikatika na wewe unataka kukaa gizani. Labda ni kwa sababu tatizo la umeme haliwaathiri ikulu, BOT wizara ndio maana wanasinzia. Hayo ma generator ni kama kila wizara ina dowans yake