Ngeleja kupokelewa Kifalme!!

nimeshaandaa ndizi kisukari mbili na pili pili mbuzi mfukoni. nakaa mkao wa kula. lazima nizamie hilo punga. issue si kuvaa tu kijani.

wali.jpg
 
Baada ya Mh. Jk kumpiga chini katika Baraza lake la Mawaziri. Chama Cha Mapinduzi katika jimbo lake la Sengerema kinamuandalia mapokezi ya kifalme hapo kesho, ambapo atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara.Namwona anawabembeleza wamtembelee atakapokuwa kwende jimbo lake jipya na teule la Ukonga prison.Asisahau kumwomba Nchimbi amwamishie jimbo la karibu ng nyumbani-Butimba prison
 
hapa wala sio kama wasukuma wamepotea bali ni njaa ya wana ccm sinaimani sengerema ninayoifahamu ilimuacha kando Marsha ulikuwa ukifika sengerema stand unapewa zawadi mbalimbali aliyefuatilia enzi zile anajua hili lakini hawa jamaa wako wapi? naomba muelewe uongo huwa unamwisho hata kama wanadanganya kwa sasa kuna siku ataaibika
 
Dr. Chami alimwambia JK ukininyima uwazuri, JImbo LA moshi V, CCM mlisahau.... sijui sengerema vp
 
Mkuu nimeipenda hiyo ,inawezekana watani zangu wasukuma nao hawaelewi maana ya neno FISADI kama ndugu zao wamasai.Wamasai walisherehekea wakijua fisadi ni cheo kubwa kuliko ile wasiri mkuu.

Lakini tukumbuke kuwa kuna familia hufuraia kinacholetwa nyumbani bila kujali kimepatikanaje,hata uwaambie ameiba watakuambia lakini alikuwa anajali familia
.
TUNAHITAJI MABADILIKO KWANI MWIZI NI MWIZI TU BILA KUJALI KAIBA KWA JIRANI AU NDANI.
 
Wana haki ya kumpokea kishujaa. Kuna hotuba moja Mama Kilango aliitoa Bungeni akisema hataki kununuliwa chai na Ngeleja akasema Waziri anapeleka umeme kwenye vijiji 6 kwenye jimbo lake wakati wananchi wa Same hawana umeme. Hivyo si ajabu huenda Sengerema imejaa umeme.
Wewe ni libwegwe fulan,unakumbuka shuka kumekucha.Wewe pamoja na akili yako ilivyo dull hujiulizi ni kwa nini maeneo ya kaskazini mwa nchi,mikoa ya arusha na kilimanjaro ipo juu kimiundombinu(umeme na barabara za lami) hadi vijijin kuliko mikoa kama rukwa na kigoma? Huon kwamba kuna tatizo,leo unapiga makelele,eti ngeleja kapeleka umeme katika vijiji 6,huo ni usenge.Viongozi wa zaman kutoka kaskazin kama akina msuya,eliufoo,mramban nk inabid washtakiwe kwa kuwabagua watz,akina ngeleja wamefuata mambo yao ya kibaguzi.Haya mambo ndio yatakayotuletea matatizo watz.
 
Watampokea na bendera za chadema, ngoja ushangae hiyo kesho. Kama wanampenda sana watamwambia ahamie chadema.
 
Ameandaa pilau nini? Maana wanachama wa ccm kwa pilau huwawezi wapo radhi wasafiri toka dsm mpaka segerema

Nafikiri pilau halitakosa hapo tena kwa hisani ya Dowans na Barrick, watakula jimbo zima na kusaza. Baada ya masaa kadhaa tu tumboni hamna kitu na taabu zao wanaendelea kubaki nazo
 
Kumwandalia mapokezi mtu anayetuhumia kwa ubadhilifu wa raslimali za nchi ni ushabiki usio na maana.Wananchi tunapaswa kushikamana na kuwakemea wale wote wanaofanya vitendo vya kuihujumu nchi yetu hata kama ni 'wenzetu'.

Yote hii ni kwa sababu ya IGP Mwema Said, na Dr. Hosea na TAKUKURU yake halafu eti wenyewe hawapelekwi mahakamani, unadhani angekuwa amefunguliwa mashtaka na kusimamisha mali zake ili zichunguzwe kwanza kama ni safi, wasingempokea hata kidogo. Juu ya umeme, mi jana tu nimepita Sengerema, ni mafuriko kila mahali na umeme upo pale pale paitwapo mjini Sengerema. Umaskini hamna tofauti na Igunga, iliyopata kusemwa na mzee wa 'siasa uchwara' kuwa ni kitovu cha maendeleo kwa Tabora!!!! Aibu kwetu TZ...
 
Yote hii ni kwa sababu ya IGP Mwema Said, na Dr. Hosea na TAKUKURU yake halafu eti wenyewe hawapelekwi mahakamani, unadhani angekuwa amefunguliwa mashtaka na kusimamisha mali zake ili zichunguzwe kwanza kama ni safi, wasingempokea hata kidogo. Juu ya umeme, mi jana tu nimepita Sengerema, ni mafuriko kila mahali na umeme upo pale pale paitwapo mjini Sengerema. Umaskini hamna tofauti na Igunga, iliyopata kusemwa na mzee wa 'siasa uchwara' kuwa ni kitovu cha maendeleo kwa Tabora!!!! Aibu kwetu TZ...

acha zako boya,wangapi wako ovyo tz hii?
 
Kumpokea kifalme ngeleja ni kumsaliti mh jk.....! Huyu ameshindwa kazi,msaidizi wake ameingia kwenye baraza jipya, huyo hafai........... Mwanza alikuwa ananyoa kwa shs 50,000 wakati bei halali ni shs 3000,huyo ni mwizi anatakiwa kuchunguzwa!
 
Nani amedhamini mapokezi hayo? Kumpokea kishujaa mtu aliyeondolewa madarakani ni tusi kwa aliyemuondoa (JK) ni tusi kwa waliomshauri (Kamati kuu) ni tusi kwa watanzania wote kwa pamoja waliokuwa wakilipigia kelele hili jambo...... Hata hivyo sishangai sana kwa jinsi ninavyoufahamu mfumo wa mamlaka na uongozi wa CCM ulivyo....katika jambo moja Mukama anaweza kuwa na msimamo wake.....Nape akawa na wake..... UVCCM taifa wakawa na wao....CCM Mbeya wakawa na wao pia......UVCCM Chalinze nao wakawa na wao. Hivyo hili la Sengerema siyo jipya sana
 
Acha majungu mkuu!

kule sengerema kumejaa watu wenye woga,ignorance,wanaoishi kwa matumaini,utapiamlo,wanaobaki nakauli kua hali waliyonayo wanastahili coz hawakusoma na hawanakitu,dhahabu wanaona ni stahili ya wazungu,ukanda wa wapumbavu utabaki kuwa wapumbavu.maskini ni mtaji wa sisiemu.mendeni Arusha muone,LEMA akisema wamama wauza nyanya wapange bidhaa kwenye lami hakuna wakuwafukuza hata aje ki.kwe.te acheni woga
 
Duh! Kweli kwenye watu 10 binadamu 1! Hivi kweli ukiambiwa kistaarabu wapishe wengine wapata huduma ni kosa la kinidhamu?

Ok nini hatima ya kufukuzwa kazi kwa huyo askari? Ktk mazingira ya Tz sina shaka Mnaku hakuwa na pa kukimbilia kudai kusikilizwa ili kupata haki. Hopeful G-D took good care of him!
 
Tumeshazoea... ila hapo kuna tatizo na wasukuma aisee

wao kila kitu ahata kufumaniwa wanatandika zulia?? au sio wasukuma wote??
 
Wanaccm wapi hao wakati Dr. P. W. Slaa, Kamanda Lema na Diwani Mawazo waliwazoa wote wakahamia cdm wakiwemo madiwani? Au maigizo haya!?
 
Baada ya Mh. Jk kumpiga chini katika Baraza lake la Mawaziri. Chama Cha Mapinduzi katika jimbo lake la Sengerema kinamuandalia mapokezi ya kifalme hapo kesho, ambapo atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara.

Ni kawaida ya ccm kwa mtu kuboronga pamoja na kutuibia na baada ya kutemwa anarudi jimboni kwake na kupokelewa kishujaa sijui kama akifanya jambo jema na zuri sijui ndo watamhukumu maana viongozi wa ccm wamekuwa wakikumbatia maovu na wanachama wake wamekuwa hivyohivyo
 
Back
Top Bottom