Leo saa nne asbuhi mji WA Dodoma ulisimamama baada ya kijana makini William Ngeleja kurudisha form yake ya kukiomba chma cha mapimduzi kumpa fursa ya kugombea urais kupitia chama hicho.
Akiongea na waandishi alisema kuwa. Lengo lake ni kuunda mfumo mpya ambao atalifanya taifa kuondokana na utegemezi wa kiuchumi.
#Maono sahihi
Mikakati makini
Matokeo Halisi
Akiongea na waandishi alisema kuwa. Lengo lake ni kuunda mfumo mpya ambao atalifanya taifa kuondokana na utegemezi wa kiuchumi.
#Maono sahihi
Mikakati makini
Matokeo Halisi