Ngeleja anajua kukata mauno

Ngeleja anajua kukata mauno

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
attachment.php

Kwa raha zake stress ya Uwaziri hana anajimwaga kinoma noma..
 
Duh, this is nice bwana..Mkuu hebu tuwekee na za Yanga basi tuone mbona mnatubania since yday sijaona list ya Yanga...plse mwenye nayo aturushie hapa..hata kama tumefungwa lakini penelt siyo issue.
 
Yule mchezaji mahiri anayeitwa Malima alikuwepo? Maana anashambulia kwa kasi bila hata ya kuwa na SMG. This was the match to watch....
 
kwa raha zao!safi sana!aliyeandaa hii mechi na tamasha kwa ujumla,big up!
 
Back
Top Bottom