kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena unazidi.Saivi watanzania hatutaki POROJO kaeni kimya mfanye kwa MATENDO

<br / ngeleja ndo alisema hayo. Au wataka kumteteaa?Sasa umedharauliwa na Ngeleja au magazeti?
jitahidi waweza fikia hatua ya ku cover upuuzi wao.................huhSasa umedharauliwa na Ngeleja au magazeti?

jitahidi waweza fikia hatua ya ku cover upuuzi wao.................huh

Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena unazidi.Saivi watanzania hatutaki POROJO kaeni kimya mfanye kwa MATENDO
ndo matatizo ya kushinda unaangalia ch5 siku nzima...................huh

kwani we ulimsikia ngeleja mwenyewe akiongea!.
suseni basi mtoke nchini kama viongozi wenu wanavyosusa bungeni! Mnanchekesha.

Suseni basi mtoke nchini kama viongozi wenu wanavyosusa bungeni! Mnanchekesha.