Ngeleja ametudharau kama hajatutusi.

kikaragosi

Senior Member
Nov 14, 2010
112
10
Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena unazidi.Saivi watanzania hatutaki POROJO kaeni kimya mfanye kwa MATENDO

sifa kuu ya magamba ni uongo, kusema ukweli kwao ni kosa, si balozi wala mwenye kiti taifa.

Juzi nilimsikia Ngereja akiwaambia watendaji wa Tanesco, eti ikitokea mgao wa umeme unakwenda nje ya ratiba wananchi wapewe taarifa mapema, sijui ndo nini hiki.

sifa kuu ya magamba ni uongo, kusema ukweli kwao ni kosa, si balozi wala mwenye kiti taifa.

dah inaumiza saaana tena saaana hebu fikiria mida hii niko gizani Ngereja bd ni waziri wa nishati ambayo haipo. anakula mshahara wa bure tuu! CCM kweli imetumaliza na siasa za kulindana.

Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena unazidi.Saivi watanzania hatutaki POROJO kaeni kimya mfanye kwa MATENDO

Sasa umedharauliwa na Ngeleja au magazeti?

Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena unazidi.Saivi watanzania hatutaki POROJO kaeni kimya mfanye kwa MATENDO

Mkuu porojo za aina gani unazungumzia ambazo watanzania wamechoka kuzisikia? Kama mkuu wa nchi mwenyewe anapiga porojo na wananchi mnashangilia ije kuwa waziri Ngekewa (Ngeleja)!

Huyu jamaa si alitangaza kwenye tv kuwa symbion na aggreko wanawasha mitambo jana sijui juzi, mbona mziki ule ule? Au ilikuwa danganya toto kama kawaida yake? Hivi kwanini asitokee mtu akamrushia viatu kwenye mikutano kama alivyofanyiwa Bush??? Aaaagh!

Suseni basi mtoke nchini kama viongozi wenu wanavyosusa bungeni! Mnanchekesha.

Huku kwetu kinondon umekatika sasa hivi
Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena unazidi.Saivi watanzania hatutaki POROJO kaeni kimya mfanye kwa MATENDO

Ngeleja ni daladala jamani hivi nyie hamjui! Boss wake anasubiri hesabu banaaa lol!

Huku kwetu ni giza tangia mchana hadi sasa hivi. Hivi kwel hii ndio ARI ZAIDI, NGUVU zaidi na KASI zaidi?

Wadanganyika kudanganywa ni jadi yetu pia maneno matupu ni jambo la kawaida kwa magama

Faiza, c dhani kama magazeti wanatoa habari kubuni zaidi ya kumnukuu waziri wako ww Ngeleja alichosema kuhusu mgao.Mbona unamtetea sana nduguyo nn

Suseni basi mtoke nchini kama viongozi wenu wanavyosusa bungeni! Mnanchekesha.

ngeleja anatia hasira wewe unatutia kinyaa inawezekana kabisa mh nglj hana cha kufanya inaelekea wewe huna hata cha kufikiri. Eti sijui nini nyooo nyooo huna uchungu hata na mwanao wa kumzaa mwenyewe usingeongea upuzi huo hili ni janga la taifa wala si la ngeleja na mtu fulani wee hivi unaishi wapi usie na mapenzi na TZ yetu?

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom