kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena unazidi.Saivi watanzania hatutaki POROJO kaeni kimya mfanye kwa MATENDO