Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?UPUPU USHANYUNYUZIWA SHIMONI ; LALIZA WATOKE:
LAZIMA PICHA TUJUE
Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Ha ha ha haSerikali inaweza kufanikiwa but only if you believe in miracles.
Mambo gani yakiisha??? Unless unamaanisha mfike mpaka mwisho kuanzia kurekebisha miswada yenu mibovu hadi mikataba mwishoni mpaka mkapa na kikwete mtawachunguza na kuwataifisha!!! Ila zaidi ya hapo itakuwa BUSINESS AS USUALMimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Na kama serikali ikishindwa,Magu atasema nini? Au atasema wataanza kurekebisha sheria za madini baada ya uchaguzi 2020?Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Atarudi Ikulu. swali jingine?Na kama serikali ikishindwa,Magu atasema nini? Au atasema wataanza kurekebisha sheria za madini baada ya uchaguzi 2020?
Ndio imejenga sasa?.Serikali ilikuwa na mpango wa kujenga mtambo wa kuchenjua madini tangu muda mrefu.
Punguza jazba,soma uelewe.Ndio imejenga sasa?.
I do believes in Miracles.Serikali inaweza kufanikiwa but only if you believe in miracles.
Huyu jamaa ndiye ali kweda kusainia mkataba hotelini Ulaya. Hana cha kutuambia Watanzania. Anatakiwa nae muda huu awe chini ya uchunguziBlah blah tu
Ova
'kama'Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?