Ngazi anayoitumia PINDA ipo siku itamuangusha

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Jana waziri mkuu ametumia nguvu nyingi na muda mwingi sana kutetea mpango wake wa kuibinafsisha ardhi ya Rukwa na Kigoma,kwa kigezo cha kusema kuwa anataka kuiendeleza KIGOMA na RUKWA,Mh.Pinda anaitumia mikoa hii kama ngazi ya kumuwezesha kukamilisha malengo yake,japo amejitetea kuwa ni hatua za awali zilizofanyika lakin ukweli wa mambo dada yake (Mdee) ameshauweka wazi,,,,,,nasema kuwa ngazi hiyo(Kigoma na Rukwa)ipo siku itamuangusha,,,,,,,Hivi sasa imekuwa ni kasumba kwa viongoz waandamiz kuendeleza maeneo watokayo,Bagamoyo ni mfano mmojawapo,lakin hili la kuigawa ardhi kwa bei ya kikombe cha babu!!!!!!!Katika utetez wake pinda amesema si ekar 25,000 bali ni elfu kumi,lakin hajakanusha miaka watakayoimiliki,hajakanusha safar ya kwenda marekan hao watendaji,,,,,,,Nakumbuka miaka michache nyuma ilitokea ajal ya tren Tabora,Lowasa alipoenda alijinasibu kuwa TRC itakapobinafsishwa italeta manufaa kwa wakaz wa kanda ya ziwa na kanda ya magharibi,hiyo ilikuwa ni NGAZ ya kuliuza na kuliua shirika,Pinda nawe waja hivo eti kwakuwa ni mbunge,,,,,,nasema pinda ataanguka,ila miaka ijayo,..........MANENO HAYA YAPO KWENYE KUMBUKUMBU ZA BUNGE,ANASEMA ATAKUFA NALO......TUIJENGE NCHI NA SI KUIBOMOA
 
Back
Top Bottom